Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mkuu naona mnatikisa mzinga wa nyuki Mchana tena jua linawaka

Duh!!!....mkuu umefufuka tena????Mimi nilikuwa nimeshafurahi kwani nilifikiri umepotea kama ile ndege ya Malasia!!
 
Duh!!!....mkuu umefufuka tena????Mimi nilikuwa nimeshafurahi kwani nilifikiri umepotea kama ile ndege ya Malasia!!

Hapana Mkuu nipo angalia tuu nyuki wasikung'ate kiongozi maana ni wa kali kwel kwel
 
kiwatengu nia yako ovu ya kuvunja mahusiano yangu nilishakukataza husikii.
Narudia tena, mimi ni mpenzi halali wa Mdakuzi. ..huyu ndiye haswa mmiliki wa nifah.

Labda kama ni utani tu, hata hivyo utani huu ni mbaya na haujengi picha nzuri kwa wapenzi walioko serious kama sisi.

oh!! shemeji nifah? mambo vipi lakini?
sijawahi kuwa na nia wala mtazamo wowote mbaya juu yako.
Ninachokisema ni kweli kabisa..
listen, we ni mzuri na unahitaji mtu makini..
mwenye uwezo mzuri kusimama whenever ur in need..
Physical and spiritual....
I declare that Mr. Capt Nemo is fit for you..
Hajakutokea PM he came out on public, hii inadhibitisha ur the only one he needs..
huyo mdukuzi mpe free time yakuwadukuwa wengine.
 
Last edited by a moderator:

Ooooh poor kiwatengu, ukuwadi umegonga mwamba this time.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa nimejikuta tu nacheka.
Kweli nimeamini wewe ni kuwadi mwenye viwango vya kimataifa!
Hata hivyo mpenzi wangu mimi ni Mdakuzi sio huyo uliyem mention.

i will be here few hours to come!!
 
Last edited by a moderator:
unatongoza ama unasaidiwa mnakuwa couple!!

na kama yeye hanitaki .anataka mwingine itakua je?
Nawapenda wadada fulani wachangiaji mahiri ,ukweli sijawahi kusoma kama wamechangia matusi katika majukwa .Nawapongeza waume zao
 
na kama yeye hanitaki .anataka mwingine itakua je?
Nawapenda wadada fulani wachangiaji mahiri ,ukweli sijawahi kusoma kama wamechangia matusi katika majukwa .Nawapongeza waume zao

mfano nani na nani? ishu sio wanachochangia bana..
kama umevuta walete hapa, uanze na mmoja mmoja...
 
Back
Top Bottom