Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
Ha haa endelea tu kuota wewe
Sasa mimi spare tyre nitaendelea kukaa bila kazi hadi lini my dear????....nachakaa ujue na ninapiga kutu ujue!!
Ha haa endelea tu kuota wewe
Koh koh koh
We jamaa weweee, kumbe ndio unatia sumu?
Valentina ❤❤❤❤❤Huyu jamaa ndio zake kuvunja ndoa za watu
Am feeling so incomplete,kila mtu amenikataa hadi mashemeji,michepuko e.t.c wote wamenikataa,am feeling so lonely, someone to make my life complete come closer please!!!
Hahahaaa!! Mbona unalo hilo!