Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mie mwenyewe namdai bora aje, mume wangu wax alimpa kazi ya ulinzi akala advance akapotea, we kiwatengu hebu ukuje useme kama kazi imekushinda.

Haya ngoja nikae pembeni niangalie mpambano mie. ..
 
Last edited by a moderator:
Kiranga cha wax mie nilimuambia najilinda akakazana anaweka mlinzi, ngoja yamkute

Inavyoonekana hana habari kama kuna watu udenda unatutoka kwa kumtaka mtoto!
 
Last edited by a moderator:
Haya ngoja nikae pembeni niangalie mpambano mie. ..

Tatizo kiwatengu kazi yake kubwa ni ukuwadi, sasa cha ajabu akajitia ujuaji eti na ulinzi anauweza, sasa wax nae akaingia kichwa kichwa akampa kuwadi kazi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kiranga cha wax mie nilimuambia najilinda akakazana anaweka mlinzi, ngoja yamkute

Nin tena kimetokea hapa mbona mnataka nilete ugomvi baby ebu niambie
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kiwatengu kazi yake kubwa ni ukuwadi, sasa cha ajabu akajitia ujuaji eti na ulinzi anauweza, sasa wax nae akaingia kichwa kichwa akampa kuwadi kazi!!!

Mama weee, shemeji kakabidhi kuwadi mke...kifuatacho hakuna maswali.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kiwatengu kazi yake kubwa ni ukuwadi, sasa cha ajabu akajitia ujuaji eti na ulinzi anauweza, sasa wax nae akaingia kichwa kichwa akampa kuwadi kazi!!!

Kuanzia leo natangaza rasm nmemvua kiwatengu madaraka ya ulinz nmeamua kua mlinzi mwenyewe haya!! Baby kuanzia sasa mm ni mlinzi Ondoa shaka
 
Last edited by a moderator:
Mimi maombi/sala zangu kwa mungu apotee moja kwa moja kama ile ndege ya Malasia ili nipate chance mimi!!

Hahahaaaa!!! We chance ilikuja ukaichezea endelea tu kuchina, mwenye mji wake kashaingia.
 
Nin tena kimetokea hapa mbona mnataka nilete ugomvi baby ebu niambie

Hamna tulikuwa tumekumiss tu ndio tukakuita

Mkuu naona mnatikisa mzinga wa nyuki Mchana tena jua linawaka

Acha wamng'ate

Kuanzia leo natangaza rasm nmemvua kiwatengu madaraka ya ulinz nmeamua kua mlinzi mwenyewe haya!! Baby kuanzia sasa mm ni mlinzi Ondoa shaka

Mmmmh!! Unamvuaga hivyohivyo alafu unamvalsha tena.
 
Last edited by a moderator:
Mimi maombi/sala zangu kwa mungu apotee moja kwa moja kama ile ndege ya Malasia ili nipate chance mimi!!

Sipotei Mkuu nmerud kama speed ya light tafadhali msitikise mzinga wa nyuki Mchana
 
Back
Top Bottom