Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

We shindwa! Ananipenda mnoo! Now kaamua kuwa mlinzi mwenyewe, tangu lini kuwadi akawa mlinzi wa mke wa mtu!!

samahani lakini hivi hili neno kuwadi lina maana gani? nimewasikia muda mrefu mkiniita hivyo, siwaelewi
BTW I'm not handsome that much!!
 
Hahahaaaa! Yaani wewe ni kuwadi alafu hujui maana ya ukuwadi!! Acha hizo bwana, kwani unachokifanya humu ni nini?
 
kwani maana yake ni nini?
Man with alot of money? ohh!! i don't have that much...
 
Mkuu kiwatengu nmeamua mwenyewe kuingia kazini kauli mbiu "abiria chunga mzigo wako"

mkuu tatizo lako huwa unafanya maamuzi sehemu za hatari na bado unakosea..
listen unamtaka huyu mkeo aendelee kuwa mkeo?
 
Last edited by a moderator:
mkuu tatizo lako huwa unafanya maamuzi sehemu za hatari na bado unakosea..
listen unamtaka huyu mkeo aendelee kuwa mkeo?

Ndiyo na ninajua huyo ni mke wangu na hii ndoa haivunjiki ng'ooo
 
aisee what u don't know is what will cost you!!
nikikupa hints chache tu, na njia nilizoweza kuzibiti kwa mkeo for this few days..
utaniongeza mshahara mara 3.
 
Ebu sema Mkuu
 
Acha uongo wewe, si ulikwenda kulewea advance ulopewa hata kazi hufanyi!! Usilete balaa we kazi huiwezi so tulia tujipetipeti sie.
 
Back
Top Bottom