Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
Kwa Ngabu...
Ngabu ndiyo chaguo lako dear?
Kwa Ngabu...
Ngabu ndiyo chaguo lako dear?
He drivers me crazy yani
Anasafiri lini nije kuiba hapo kidogo mwaya????.... kwani cha wizi huwa ni kitam sana my dear!!
Ameweka password na ufunguo anatembea nao
Looooh!!!.......ila mimi ni hacker,i can hack it!!....cha wizi ni kitam mno my dear,mimi nina uwezo wa kufoji password na hizo ufunguo!....kwa hiyo mlango uko wazi kwa mimi kuanza mchakato wa kufoji hizo password dear????
Gusa unase... Oohooo utakatwa
Looooh!!.....Idd yangu imeharibika sasa,nilikuwa na rahaa kuwa Idd hii nitagegeda ila naona mambo hayaninyokei,hata cha kuiba nimekosa!!.....unaweza kuniunganisha na mpenda michepuko yeyote please????
sijui ni kwanini tusio na hela tuna mapenzi ya kweli. ajitokeze kijike wakunipiga sound nipo tayari. sura tutavumiliana
Hahahaaaa
hahahaaaa kwa kijapani ni I LOVE YOU.
namimi nakupenda pia
@Cute B ni wewe ulivo kama jina lako
Wanawake wanaonizimikia humu wote huu ndo uwanja wenu wa kutoa kilicho mioyoni mwenu,nakaribisha kutongozwa kuanzia sasa.
Vigezo: 18+.Uwe unamiliki mkoko wa maana eg Vogue,Prado,Hummer,etc.Uwe na nyumba nzuri(Ghorofa is added advantage).Account yako isiwe na chini ya milioni 300.Uwe na mzigo(makalio) makubwa kama ya Snura au zaidi.Uwe tayari kunipa papuchi kila napojisikia.
Wahi sasa nafasi ni chache....!!!!!
#Vigezo na masharti kuzingatiwa#
Mmmhh kweli watu wasio na hela wana mapenzi ya dhati
hahaha. pesa sina hata mapenzi nikose. ukiwa huna pesa,mapenzi hujui hupati kitu. afu na sura sijajaliwa
Ha haa tafuta wako acha kuvizia vya wenzio
Ha haa tafuta wako acha kuvizia vya wenzio
Nimepata taarifa kuwa mnaachana,mnaachana lini my dear????.....hiyo imekuwa ni habari njema kwangu na imenifariji sana kwani spare tyre nipo tayari hapa kuendeleza safari kwani nimekaa idle mda mrefu sana bila kazi!!!