Warren.T
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 900
- 318
Zawadi yako imenshinda mwaya
Kwa nini imekushinda mwaya? au una mtu?
Zawadi yako imenshinda mwaya
Mie naogopa kutongozwa jamani mmh niacheni tu!!
ushaachana nae?
we mbona hukufungiwa mtaa?
Zawadi yako imenshinda mwaya
Hmm huyo naye mumeo?
Nop nop nop
Wewe ni hatari kweli kweli,yaani unanikana mbele ya watu wakati wananchi/watu wanayaona matendo yetu?....unajua sheria kweli????....matendo yetu mbele ya watu yanatosha kuonyesha kuwa sisi huwa tunagegedana!!
Ha haa em kwenda zako uko... Ntakusemelea
Utanisemelea wapi mwaya?