Movie gani mpenzi?
"Passion of soul"ya Nigeria vp ulisha iona baby?
Alitaka nimsaidie hadi kushika mguu
Aachane na uwoga tuu ataweza
Yeah kitambo kidogo japo mie sio mpenzi wa movie za wanaija, hivi ni ya wanaija au waghana?
Duh!!....Haya ni mambo ya kuumizana sasa!!
Ni kweli ata nlipochukua jamaa kaniambia ni ya muda alivo isifia ni nzr bas nikachukua ni ya Ghana sorry nlisahau
Kikulacho siku moja kitakuwa nguoni mwako LOL!!
Duh!!....Haya ni mambo ya kuumizana sasa!!
Mkuu usipanic kiongozi my dear alikutafutia mke u kashindwa pekee yako tuu, kuwa mvumilivu tuu utapata anaye kupenda
Okey enjoy
Thanks baby karbu tu-enjoy wote bas my dear
Mkuu nasubiria mambo ya shemeji kaka hayupo kula'!....najua ipo siku tu!!
Today am sooo tired honey i wud hv joined you, am going to bed so you just enjoy it, love you alot, good night, may our allmighty Lord grant you a peacefull night n sleep. Xo Xo Xo Xo
Hahaha hahaha uwez Mkuu nmeweka password
hello!! naona number ya wanaokuhitaji wanaongezeka kwa kasi!!
mlinzi nitaanza kazi ila niwekewe advance kwanza!!