Mlinzi una mbwembwe wewe!! Alafu sijui tukusitishie mkataba maana hata sikuoni ukifanya kazi.
don't sleep i have a word with you.
Utakoma,hadi mashemeji wanakutaka!!
ndiyo nimeanza sasa, mambo yakusitishiana tena msifanye, nipeni advance mnione hapa.
Sasa wewe unaanza kazi wakati mm nalala jamani? Nishamuaga baby ujue!!
usilale, ngoja nikutambulishe mtu mwingine..
alikuwa anaitwa kan'tangaze!! sijui tuko wapi now days..alirock sana!!
today i need something from u
Duuuh nataka babitho jaman
hapana, siyo makoloni yangu..
hivi uliisoma comment kwenye rep. power niliyokupa?
u know how much is it cost to be a watchman?
(not money costs)
hapo kuna mawili, either kashaenda south au kaolewa na bandidu.