wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,940
- 5,746
Habari ninazo teleee, nakusubiri kwanza urudi nyumbani, tukimaliza mambo ya massage na mwili kurelax nitakumwagia habari njema za kutosha.
Poa my dear ndo maana nakupenda
Habari ninazo teleee, nakusubiri kwanza urudi nyumbani, tukimaliza mambo ya massage na mwili kurelax nitakumwagia habari njema za kutosha.
we dogo acha mambo yako, kuna vitu huwezi kushindana na wakubwa zako...Poa my dear ndo maana nakupenda
we dogo acha mambo yako, kuna vitu huwezi kushindana na wakubwa zako...
usije kulia tu kijana wa kiume!!
Kwani whats going on?
Have i exceeded my limits? it's nothing but jokes...sorry!Kwani whats going on?
we dogo acha mambo yako, kuna vitu huwezi kushindana na wakubwa zako...
usije kulia tu kijana wa kiume!!
Kiongozi, samahani bwana..naweza kuwa nimevuka mipaka na utani wangu, my sincere apologies!!Baby achana naye huyo roho inamuuma tuu!!! Haniwez kabsaa huyo
Kiongozi, samahani bwana..naweza kuwa nimevuka mipaka na utani wangu, my sincere apologies!!
Have i exceeded my limits? it's nothing but jokes...sorry!
Habari ninazo teleee, nakusubiri kwanza urudi nyumbani, tukimaliza mambo ya massage na mwili kurelax nitakumwagia habari njema za kutosha.
Duh!!....wewe ni noma sana shem wangu,kama umeweza kukwepa huu mtego you real deserved to be wife of my brother!!!
Kwani ndio umbekimbiwa?
Yaani shem wee acha tu,ndo maana nilipokuja huku nilijitambulisha kuwa mimi ni mgeni na ni domo zege kwa hiyo nikaomba wadada wanionee huruma,yaani nikigusia tu mdada akubali haraka haraka ila cha kushangaza hata huruma yenyewe sioni shem wangu.Nikimgusia tu mtu badala ya kunionea huruma akubali harakaharaka ndo hivyo wanaingia mitini kama unavyoona dear,yaani hapa nilipo hali yangu ni mbaya kabisa!!!....naishia tu kuumia watu mnavyoonyeshana malove ya kufa mtu!!
Wadada jitahidini muwe na huruma jamani!
Unasubiri huruma yetu ati!!! Haya endelea kuchina
Cjalala my dear nachek move hapa nikisubr taarifa ya habar