Huyo wako alikuja ukashindwa mwenyewe, basi tena!
Shem kaka hayupo,unaonaje tukaiba hapo kidogo shem wangu?
Loooh!!....umenitoroka hadi nimeanza kumtaka shemeji my dear!!
Shame on you!!
Ona sasa mpaka karudi na mtu mwingine, ulikuwa wapi unazubaa mpaka anabebwa raiti inifronti ovu yua aizi!!!
Acha hizo shem,cha kuiba ni kitam bhana,cammon!!...come close please!!
Ha!!.........mi nataka kumendea na kumnyatia my mtu chake.......si naweza kufanya hivyo........au.....?......
Basi watafute wezi wenzio as birds of the same feathers always flies together.
Ashindwe na alegee!!! Nipe habar kipenzi changu