Watu wananyatiana na kumendeanazi hapa...Do you wanna join?...Ni nini kinaendelea hapa.......?.......sijui ujue........
Watu wananyatiana na kumendeanazi hapa...Do you wanna join?...
Watu wananyatiana na kumendeanazi hapa...Do you wanna join?...
Ukiona vyaelea ujue vimeumbwa!!
mimi naona kama kila mtu ana mingle yake humu au hata kuporana inaruhusiwa nianze voko
Lakini si ninaruhusiwa kuulizia bei....!?
yero wewe si unampenda Mungu eeh? Basi mpende na jirani yako, alafu msema kweli mpenzi wa Mungu kiukweli nimemuhamu Amanda Lynn ni bora kusema ukweli kuliko kukaa na kitu moyoni
Huruhusiwi kuulizia bei mkuu kwa sababu hili siyo soko huria!!
Unaruhusiwa only km kisu chako kikali.
Nimekuelewa mkuu. Ngoja nifanye window shopping tu. Lakini kuna huyu anaeitwa atoto, nitajitoa mhanga kwa ajiri yake.
eeeeeeh tena naona shabaa yangu imedaka maana wewe ndo ulikua chagu la kwanza maana inaonyesha una utamu flani hivi na lazima nichukue mzinga najua nyuki ni wengi ila sijali
sasa sijui tufanye hapa hapa au inbobo! !?
Atoto ni shemeji yangu mkuu ila huwa anakaribisha michepuko,kama vip tupia ndoano kaka!!
Nimekuelewa mkuu. Ngoja nifanye window shopping tu. Lakini kuna huyu anaeitwa atoto, nitajitoa mhanga kwa ajiri yake.
Shemeji lini nilisema naruhusu michepuko? Lile lilikuwa biti tu ili mume wangu mtarajiwa wax atangaze ndoa, si uliona alivyopagawa? Mision accomplished now nafsi yangu burudaniiiii.