Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kama yuko single mm namtaka ila kama kawahiwa sipendi mapinduz ya namna hiyo
 
Mkuu nan huyo tena?? Nipo hai bado cjafa bwn anataka kuridhi hiyo kitu ctaruhusu kabsaa

Baby hujalala tu? Si umeniaga unakwenda kulala? Huku tena umefuata nini lkn?
 
Usijali Mkuu ingia kazini rasm sasa, coz huyu mrembo ctaki nimpoteze kabsaa tumia silaha yoyote ya ulinz tuu

nipe muda, ila itabidi nichelewe kidogo kuianza kazi.
 
ha ha ha ha... we jamaa mkali sana aisee!!
nakupa offer ya vocals..
chagua yeyote kwa jina langu nitakupatia.

Sasa mkuu mimi sijui hata kutag,hebu naomba kwanza nipe maujanja ya kutag halafu ndo nianze mambo,kwani kuna mtoto mmoja humu ambae huwa namzimia sana,juzijuzi niligongana nae kwenye thread fulani hivi yaani ilikuwa ni shidaaaa!!
 
Dear sasa inabidi ni mrudishe mlinzi huu mchezo cjaupenda ngoja yaan unaninyima nisichepuke kumbe ww unatafuta mchepuko ngoja niite mlinzi Mkuu kiwatengu njoooo huku sasa nakurudisha kazini rasm na mshahara nakupandishia

Baby jamani wapi nimechepuka?
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu mimi sijui hata kutag,hebu naomba kwanza nipe maujanja ya kutag halafu ndo nianze mambo,kwani kuna mtoto mmoja humu ambae huwa namzimia sana,juzijuzi niligongana nae kwenye thread fulani hivi yaani ilikuwa ni shidaaaa!!

simple we mtaje jina lake(ID) anayotumia nitakusaidia kumwita.
 
Back
Top Bottom