Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Machale yamenicheza kama naibiwa na ucngz umekata kabsaa bby unatakuniua na presha dear

Nikuue alafu nibaki na nani? We lala tu upumzike baba mie nipo salama kabisaaa
 
Mkuu na mpenda sana mke wangu atoto na huwa ananiridhisha cnahaja ya kutafuta mchepuko ananifanya nawahi home mapema coz nataman kumuona kila wakat

Hebu sasa na mchakato wa ndoa uufanye haraka, huu uchumba sugu nishauchoka mimi, mwisho nitapokonyeka bureee!
 
Last edited by a moderator:
Aisee umejuaje? Thats my blood group for sure.

Mmejionea wenyewe na atoto kathibitisha damu yangu na yake ni group o kwahiyo mtoto wetu atakuwa group o+ kwahiyo naomba mtu asimsumbue huyu bint. Baby tuamie PM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengo hali sio hebu toa msaada maana sielewi. .. hebu niungie alie single japo nami nijidai
 
Back
Top Bottom