aretaskimario
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 527
- 248
Last edited by a moderator:
mwanzo mzuri!!......
Yani wenzako wahangaike kutafuta mche, kuupanda, kuumwagilia etc hadi Leo umezaa matunda... Wewe from nowhere uanze kupopoa tu matunda...... Aisee utapigwa tulol lol lol....
I am loving out loud...
Nipigwe na nani huyo?
kisa nimekaa karibu na mti wenye matunda?
Poa tu aretaskimario, habari ya weye?
Poa tu aretaskimario, habari ya weye?
Yaani wewe nimekuvulia kofia.
Mimi niko poa kabisa labda nikuulize wewe mamit0h
yaah, as watu pia wanaishi!!!
kuna mtu nimempa sifa zako hapo juu sijui atakuwa kaelewa vile!!
afu nilisahau kumwambia kuwa wewe ni delicate sana!! huwezi kuvunja hata biskuti!!
lainiiiiii....
Kofia ipi tena jamani?
Mie niko okey.