so huyo humtaki tena?
Anatafuta mchepuko nini!!
simple we mtaje jina lake(ID) anayotumia nitakusaidia kumwita.
Bado sijaolewa kwakweli.
Baby hujalala tu? Si umeniaga unakwenda kulala? Huku tena umefuata nini lkn?
Inabidi nitafute mwengine humu ambae yuko single
Kwa bahati nzuri tumekutana wote sing0! Mwaaaaah.
Kwa bahati nzuri tumekutana wote sing0! Mwaaaaah.
kaujumbe kangu umekapata?
atoto damu yangu na yko ni group o
Ngoja niunde tume mkuu! 🙂