na hivyo hauna ulinzi wowote...
kuna mtu nimempa sifa zako hapo juu sijui atakuwa kaelewa vile!!
afu nilisahau kumwambia kuwa wewe ni delicate sana!! huwezi kuvunja hata biskuti!!
lainiiiiii....
Ya kichwani
Loooh!!...unajua kuanza vizuri mkuu!!
Dear sasa inabidi ni mrudishe mlinzi huu mchezo cjaupenda ngoja yaan unaninyima nisichepuke kumbe ww unatafuta mchepuko ngoja niite mlinzi Mkuu kiwatengu njoooo huku sasa nakurudisha kazini rasm na mshahara nakupandishia
Mkoa nimeusahau hebu ngoja nifikirie
Hahahaha, usihofu mkuu huyo ni dadaangu. Muulize kama hajakwambia babu yetu ni m1 ambaye ni kimario.
pandisha dau fastaa..huyu njiwa anaruka ukimtizama...