suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
😉😎😉😎😎😀😀😀😀
Usizime simu leo nikutongoze.
Umenifanya nimecheka kweli sizimi kwa ajili yako
Si unaniona wote wananicheka nimeporwa mke?
Ahhhha inaelekea ulikua huwez kumtuliza mana asingekukimbia
Hapana najua kupenda sana, ila dogo aliingilia tu.
Kupenda na kutuliza n vitu viwil tofaut
Najua kucheza na hisia za mwanamke
Nitaprove
Jaribu uone kama hujamsahau huyo ulienae
Et eeeh
Mmmmh..Utamuonea huruma, mwanamke utakuwa huoni wala husikii