Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
Bibi jiangalieeee????!Yani ndoa yako ndio kwanza changa unataka tena kutongozwa?mhhhh?????
Unanizibia Honey Faith
Last edited by a moderator:
Bibi jiangalieeee????!Yani ndoa yako ndio kwanza changa unataka tena kutongozwa?mhhhh?????
Hivi humu bado watu wanatongozana?
Unanizibia Honey Faith
Mie wala hata sikuzibii wewe tu na speed yako.Mie nataniana tu na bibi yangu usidhani nakuzibia Rich Pol
Nakutania Honey Faith si unajua mkmi ustaadhi swala tano.
Poa hujambo mpenzi?
Mume wako bweg.e tu. Kam zis wei darlie nikupe majotroo na :mimba:Mie sijambo.Mume wangu anakusalimia......looooo
Mume wako bweg.e tu. Kam zis wei darlie nikupe majotroo na :mimba:
Haogopwi mtu hapa. Haiogopwi tezi dume itakuwa kidogo cha JF kilichobalehe kabla hakijatahiriwa?Nitamuitaaa ooooohhh na unavyomuogopaga kama nakuona utakavyokimbiaa
Haogopwi mtu hapa. Haiogopwi tezi dume itakuwa kidogo cha JF kilichobalehe kabla hakijatahiriwa?
Huyo tena? Hivi kishaacha kukojoa kitandani??Ngoja Ro... njoo huku ukione hiki kizee........
Huyo tena? Hivi kishaacha kukojoa kitandani??
Hantishi wala hanibabaishi. Mke wake ni mchepuko a.k.a dem wangu:becky::becky:Babu naomba umkome mume wangu
Hantishi wala hanibabaishi. Mke wake ni mchepuko a.k.a dem wangu:becky::becky:
Unanizibia Honey Faith