i miss you sana...
Hata mie nimekumiss danga langu sikukuu yote unakula mwenyewe!!msalimie mkeo na watoto
Uku nako kuna raha
yaani sana tu.....!
ngoja mi nivizie vitega uchumi hapa
hivi hujambo...?
Mie cjambo nakuona umenichunia kaka angu sikukuu yote hii hata zawadi??
Hivi hapa mara ya mwisho mume wangu alikua ni nani? Hebu nikumbusheni
Mimi hapa...hahahaha!
Eti eeh...tuendelee tulipoishia basi!