Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Mtongozo live mbona kimya,watu ndo mmesogezana kimya kimya au ndo swaga zimeisha
Usipotee sana my mume Rich Pol anataka kuniiba
Hivi hapa mara ya mwisho mume wangu alikua ni nani? Hebu nikumbusheni
Mimi hapa...hahahaha!
Eti eeh...tuendelee tulipoishia basi!
Alaaa! Kumbe!
Mtongozo live mbona kimya,watu ndo mmesogezana kimya kimya au ndo swaga zimeisha
uzi kama huu watu kama mimi yatupasa kubaki watizamaji tu
ka umpweke unawez kula ugali kwa mboga ya jiranOooh! U'r kiss is so hot baby
Poa kabisa.Niaje humu ndanii?????
Hapa me mara ya mwisho nililia kwa whitegirl,simwoni siku hizi sijui yupo wapi?
Ngoja evelyn salt aje nimwanzishie mpaka atanionea huruma tu sio kulio huko!!!!