Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
Hakuna mwanasiasa anyeweza kukubali hadharani kuwa anasumbuliwa na wapinzani, lakini kama nilivyosema nimemuona mwenye uso kwa uso, na unajua uso huwa hausemi uongo!
Hakuna mwanasiasa anyeweza kukubali hadharani kuwa anasumbuliwa na wapinzani, lakini kama nilivyosema nimemuona mwenye uso kwa uso, na unajua uso huwa hausemi uongo!
Kwa hiyo anaonekana miaka mi 5 basi?
Floribert,
Welcome to JF.
Yes I had a warm and nice weekend even as I lost a big chunk of money to my kid sisterz for betting against the Patriots (dont say this to Yournameismine).
Thanks for asking!
saa nyingie nashindwa kutofautisha kati ya FACTS na OPINIONS !! kaazi kweli kweli !
Mkuu Dua,
Heshima mbele,
Uchaguzi bado, kesho mwenyekiti atawasilisha majina ya wajumbe anowataka wa skretariati, jina la katibu mkuu, na wajumbe wa kamati kuu pia watapigiwa kura kesho, kwa hiyo bado mkuu mchezo haujaisha!
Mkuu Mwenzangu MMJ,
Ninakusikia, maji yalishamwagika leo rais hawezi kusema bunge likae upya kuunda kamati ya madini na kuchunguza malalamiko ya wananchi, itakuwa ni kumdhalilisha waziri mkuu ambaye ndiye mkuu wa serikali bungeni,
Halafu at the same token, bado tuko kwenye system ya unazi, kumbuka mambo mengi ambayo rais ameyafanya Dodoma this time sio kabisa nia yake binafsi na wenzake wa Mtandao, isipokuwa ni kuelemewa na asilia ndio maana wameanza kukubali, sasa itachukua muda, lakini mimi ninaheshumu the fact kwamba hata eyey mwenyewe amekubali kuwa malalamiko ya wananchi kuhusus madini yanamkera na yeye pia,
Unajua ndio maana nimetabiri mahali nyuma kuwa kuna uwezekano mkubwa Muungwana, asimalze term ya pili, few weeks ago nilikutana naye uso uso na kuongea naye, yaani mkuu wangu ni clear kabisa kuwa mkuu amesha-resigne to his fate kwamba mambo ni mazito na hayawezi!
naomba nikuulize swali hapa kidogo kuchota your deep understanding ya mambo ya ccm.
Hivi kumbe wajumbe wa cc wanapendekezwa na mwenyekiti wa chama?
This week nimejifunza kuwa m/kiti anapendekezwa na Mwenyekiti, na baada ya kusoma hapo juu nimeona kuwa kumbe hata katibu pia atapendekezwa na Mwenyekiti.
Inatokea nini kama wajumbe wakimkataa mpendekezwa na rais katika nafasi yoyote kati ya hizo hapo juu?
1.
katika historia ya ccm ni Mwalimu tu aliyekataliwa na wajumbe kumpitisha Salim, kwenye urais, wajumbe wote wa Zanzibar walikataa kata kata, lakini otherwise huwa wanampitisha tu jina lolote linaloletwa na rais.
hapa umenigusa kweli, kumbe Mwalimu alikuwa ni mtu wa demokrasia siyo kwa maneno tu bali pia kwa matendo.. yaani alikubali kukataliwa.. sasa Benjamini kilimshinda nini 2005? Na kama watu wa Zanzibar waliweza kumkataa Salim hivyo leo mbona hatuna watu huku bara ambao wanaweza kumdindia mwenyekiti? au ndio alama za nyakati hizi..?
Demokrasia ya chama kimoja unaiita demokrasia...?
hivi wapi duniani kuna democracy ???? cuz i dont find anywhere on the map, or in the news !
KUMBUKA : kuchagua viongozi kwa kupiga kura tu, au kuondoa kiongozi madarakani does not fulfill neno "Democracy"
So what fulfils the word...?