Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 167
kijana huyu ni fisadi,alishawahi kula pesa pale Mlimani wakati akiwa Waziri wafedha wa Daruso,alikula kama million 8,ila ana uwezo mkubwa wa kujieleza..Na John Daniel, Dodoma
Mgombea mwingine Diwani wa Ukonga, Dar es Salaam Bw. Jerry Slaa aliomba asihukumiwe kwa dhambi isiyo yake kutokana na jina lake la mwisho kufanana na mwanasiasa machahari wa kambi ya upinzani ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbrod Slaa
Alijitetea kwamba hana uhusiano wowote na mwanasiasa hivyo anaomba achague ili atoe mchango wake kwa CCM.
MAJIRA-05/11/2007
kwa Mtazamo wangu,hakuja jipya ambalo tulitegemea..siku zote na nitaendela kulisimamia hili..kura yangu ya Ubunge lazima nitampa Mpinzani,ila Urais Mapenzi yangu yako sisiemu tu..ila sisiemu si mama yangu,wakiboronga hata Urais nitamchagua Zitto.
Hongera Slaa