LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
DOC-20260220-WA0002._page-0001.jpg
Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
 
Hawa LHRC inaonekana banjoo wamemjuwa leo

Ova
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ila bongo watu hawana huruma. Banjoo alikuwa anatafuna njugu minjingu booster. Wangemuacha tu afe kifo cha kawaida.

King Kong III
 
Biila LHRC watu wengi wangefia magerezani. Huwa wanasaidia sana kwa kuwapa watu wengi mawakili wao.

Hata waliokamatwa kabla na baada ya ya oct 29 LHRC ndio walikua wanatoa mawakili.

Usije kuwabeza kabisa, watanzania wengi hawawezi gharama za kulipa mawakili

Hata Leo ukiskia mtu kakamatwa huko njombe kwa kesi ya uchochezi basi hawa LHRC ndio humsaidia kwa kumpa wakili bure
 
Sijawahi kuona msaada wao
 
Sahihi kabisa..
 
Maneno mengiii hakuna lolote
View attachment 3546601

Unataka watetee Majambazi ?
Tena yasemekana huyu Marehemu alikuwa Kada wa Mboga Mboga
 
Back
Top Bottom