Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje.

Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote.

Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.

Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.

Swali: Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?

Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.

Soma Pia: Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auae kwa upanga hufa kwa upanga''?
 
Huyu nimekutana naye tena leo akitamba mtaani na simu ya kifahari. Tarehe 15 august nilimkuta pale Polisi gari yake aina ya RAV4 ikikaguliwa na polisi kwa kuwa na chasis namba zenye utata. Katika ile hukumu gari yake ilitakiwa kutaifishwa lakini kabla polisi hawajafika nyumbani gari likachukuliwa na mkewe likauzwa likachinjwa na kuuzwa kama parts.
 
Banjoo ni hatari kuliko hata Massawe (Carlos). Ameshamwaga damu za watu wengi sana. Ukipata bahati mbaya ya kupishana naye tayari mwili unakutetemeka.
Mauaji mengi yanayotokea hapa Arusha Banjoo ndiye mchora ramani namna ya kuua. Sijui ni kwa nini Serikali, jeshi la Polisi na watu wa Usalama wapo na wanamjua huyu mtu ni jambazi sugu linaloua bila huruma lakini wanamuangalia tu na hafanywi chochote huku watu wengi wakiendelea kuteketea kwa mikono yake.
Ndiyo sababu wananchi wanazidi kukosa imani na vyombo vyetu vya dola kila kukicha.











"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
 
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.

Mkuu weka picha yake hapa tumuone mimi mdau mkubwa sana wa madini
 
Mmm alikufanya nini mbona unampa promo hivyo.Hakuna baunsa kwenye risasi.

Siamini kwamba huyu jamaa anampa PROMO bali hakuna mtu anayetaka kuonyesha nia ya kumdhuru bali anatakiwa afanyiwe AMBUSH. Huyu bwana anafadhiliwa na majangili mengine ya madini kama Justine Nyari na wengine kiasi kwamba ukijaribu jambo tu watafanya kama Erasto alivyofanywa.
 
Back
Top Bottom