Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,139
e0f77d2d-2bd3-40ad-9f38-123ec5cbaa70.jpg


Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.

========

Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia link hii: Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki
 
Kama ni kweli:

1. Lazima alikuwa kwenye kanafasi kalikokuwa na hewa

2. Lazima alikuwa na source ya chakula - hata kama ni mende, panya, minyoo au nyama za wenzake aliofukiwa nao wakafariki

3. Lazima alikuwa pia na chanzo cha maji.

Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Duh! Haya Ni maajabu ya Karne.
Siku yako ya kufa Kama haijafika hata kitokee Nini huwezi kufa.

Mungu Ni mkuu🙏
 

LEO MTU MMOJA ATOLEWA KATIKA KIFUSI CHA UDONGO MJINI ANTAKYA NCHINI UTURUKI YUPO HAI BAADA YA MIEZI 3 TANGU KUTOKEA TETEMEKO LA ARDHI​

 
Makosa yako mleta uzi ni kuweka maneno ya kiarabu, yaani ungeweka maandishi kwa kidhungu aaaahhh wala hakuna mutu angehoji,
Haya tupe chanzo chako fasta
 
Hiyo habari nimeitafuta kwa kiswahili, kiingereza na kifaransa nimeikosa.
Nimefatilia habari za moto palepale Uturuki napo sijaipata.
Pia usisahau how to make your country/affiliation great again.

R.I.P Babu Kikombe Loliondo
You made Loliondo great, some will come to Make Loliondo Great again, Nchi nzima utalii ukachanua kama maua ya kondeni.

Tuchangamke ndgu zangu wa Morogoro na yale mashimo marefu yanye majoka kwenye matindiga, Ukerewe na Mawe yanayocheza Ziwani na ule mti ulio inamia ziwani ila majani yake hayadondokei ziwani, Mwanza na vile Visima vyenye samaki ukivua samaki wake vinakauka, Iringa na nyie ile miti imeandikwa Kisupo cha mkwawa ukitaka kuikata inatoa damu bila kusahau umeme kugoma kupitia kwenye nyaya zilizopita juu kaburi la Martin Kiyeyeu baada ya kabuli kushindikana kuhamishika, Tanga na ile barabara mliyogomea kupitishwa maeneo mpaka mpewe hela na serikali isiyo na dini mkatambikie ili barabara iweze kupita la sivyo serikali haitaweza, na maeneo mengine nchini na makuu yao. Kama wakenya wanavyosema ule Mlima Kilimanjaro kuwa huwa unaruka mpaka unaingia Kenya.
Promote you country to the world or you become the bridge to the world.
 
1. Likely alikuwa kwenye kanafasi kalikokuwa na hewa

2. Lazima alikuwa na source ya chakula - hata kama ni mende, panya, minyoo au nyama za wenzake aliofukiwa nao wakafariki

3. Alikuwa pia na chanzo cha maji.

Kweli Allah ni muweza wa yote. Na si ajabu aliruhusu tetemeko hili litokee na kuua maelfu ya watu ili aje aonyeshe uwezo wake kwa kumponya huyu mmoja baada ya miezi mitatu. Matendo na uwezo wake havielezeki!
 
Back
Top Bottom