Lema, Lissu, kulikoni tena mbona Rais Samia anaenda Marekani?

Huyu Ustadhi wa Tandamti hajui Fidel Castro wa Cuba alikuwa akihutubia UN pamoja na uadui kati yake na USA.
Hayo maneno mwambie nabii wako Lema, yeye ndiyo kasema mimi naelewa.
 
Ukikalia mambo ya vijiwe vya kahawa utapoteza. Hivyo ni vijiwe ukitoka akili kichwani kwako
 
samia hajapigwa marufuku kuingia USA we mburula

dunia nzima ingejua

makonda alipopigwa marufuku ilitangazwa

acha kumfuatilia lema na lissu, bora ushinde tiktok uta smile
Chadema-Kata huyu😀😀 Lema ndiyo kasema
 
Mwambie Lema, jamani ndiyo alisema kuwa wamefanya kila kitu huko nje kuzuia Rais Samia asiende Mareakani kwenye mkutano, mimi ndiyo nauliza mbona anaenda, sasa mimi kosa langu lipi hapo?
Lete huwo ushahidi kwa sababu wewe ndiye uliyesema.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.

DAH! Sorry braza kumbe hujui mambo, uko kapa kabisa!!

Kuna tofauti kati ya mialiko ya UN pale New York na ile ya Serikali ya Marekani pale Washington.

Nakusamehe hata hivyo, hayo ni matokeo ya shule za kata!!!
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Ngoja nikusaidie kitu, Samia anaenda marekani kwenye mkutano wa umoja wa mataifa hiyo inaruhusiwa hata mugabe alikuwa anaenda pamoja na kuwa aliwekewa vikwazo. Samia hataruhusiwa kwenda kwa ziara ya kutembelea marekani kama kuna vikwazo.
 
Kwani jiwe yuko wapi sasa?
Tubakini kwenye hoja tafadhali, tunasisitiza tubakini kwenye hoja.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
Hawajaandaa maandamano huko Twitter?

Huwa nasema siku zote wapinzani wa Tzn ni wapumbavu Sana,badala mkomae ndio mzungu awasaidie nyie mnataka kitonga,hakuna kitu kama hicho
 
Wanaukumbi.

Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Sania hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia maitafa ya Ulaya na na Marekani kuwa Rais Samia, hafai kuongoza Tanzania hamna demokrasia na wamekubali kuwa hawawezi kumruhusu.

Kulikoni tena kesho anaelekea New York Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo, pia atahudhuria mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.

Lema, Lissu na wafuasi wa Chadema wazungu naona wanawapuuza tu.
ChaMA Lissu lemma ni kama MFA maji haishi kutapatapa Kila wanalolifikiria wanafukiri linawezekana wazungu wanawachora tu nakuwaona mazuzu nchi yenye amani kama Tanzania uwaambie haifai wakati wait wanakujaga kupumzika huku shame apon them chadema
 
United nations session ni kwa kila taifa linatambulika na umoja wa mataifa
Rejea
Mugabe
Rais wa Iran
Venezuela
Maadaui wakubwa wa Marekani
Wameshaenda na kuwatukana maraisi wa Marekani mubashara
Na shughuli zingine baada ya kuhutubia baraza unazizungumziaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom