Lissu Antipas Tundu aweza kuwa kiongozi mzuri kumpita Rais Samia?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
 
Lissu hapana huyu ni mwanaharati sio mwana siasa labda awe Raisi Law society.
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Ubongo wako Umekaa kitahira TAHIRA.
 
Kwani huyo uliemtaja kuliko unazani anafaa?
 
Viwango vya Lissu huwezi kulinganisha na Samia, Lissu yupo juu mno kiweledi na kiutendaji.
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Baada ya Samia LISSU atakuwa rais wetu.Ni MTU makini na mzalendo wa kweli.
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Kama uongozi Bora ungekuwa unapimwa kwa vigezo unavyosema, basi Mandela asingekuwa Rais kwa kuwa alifungwa jela miaka 27, mawazo yako hayo ni ya CCM.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.

Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za CHADEMA
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Hizi sio variables za kitafiti zinazoweza kupimika kupata majibu kama yupi anafaa zaidi kati ya hao wawili.
Nyerere alitumia vigezo kama kupinga rushwa, udini, ukabila nk. Mtu anayekereketwa na shida za watanzania kama umasikini nk.
Hiki ndicho wananchi wanaangalia na sio porojo
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Usisahau kuwa Lisu ni Mwanasheria wakati Samia ni mbumbu wa Sheria ndiyo maana hawezi tofautisha Kati ya mkataba na majadiliano ua makibaliano
 
Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi.
# Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa;

# Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar;

# Lissu ni mfanyabiashara kupitia KAMPUNI ya uwakili wkt Rais Samia hana ufungamano wa kibiashara na KAMPUNI yoyote;

# Lissu anaamini ktk siasa za jino kwa jino wakati Rais Samia anaamini ktk maridhiano;

Kwa ujumla Lissu akiwa Rais uongozi wake utakuwa sawa na Adolf Hitler au Idd Amin. Watanzania tunapofanya uchaguzi tuepuke mihemuko ya kisiasa tusije jutia hapo mbeleni.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Lissu NI kichaa. Over.
 
Uzi wako hauna honest intension na inaonanekana upo very biased kwa hiyo uwezi kupata maoni genuine ,umeshafeli
 
Lissu ni mzalendo wa kweli. Anapenda nchi yake na anatupenda Watanzania wenzake.

Anapenda haki na pia anaheshimu utawala wa sheria.

Anafaa kuwa Rais.
 
Katika utawala hapaswi kuwepo mtu wakubonyeza remote kuruhusu kipi kifanyike
Katika utawala kuna mifumo inayoendeshwa kwa kanuni, sheria na taratibu kutoka mwongozo mkuu yaani katiba.
Hiyo mifumo inajipambanua katika mihimili mikuu huru, bunge, serikali na mahakama.
Watu huwekwa kusimamia yote hayo nao hupewa tools wezeshi kuendesha mambo yote. Lengo kuu ni kutekeleza matakwa ya wananchi.
Hivyo mtu yeyote mzima wa akili anaweza kupewa jukumu maalumu kadiri mfumo ulivyo.
Nchi inapaswa kwenda kulingana na mifumo ilivyo na siyo kwa matilaba yake.
 
Kwani huyo mama yenu mnafikiri atafanya biashara kwa kujitanguliza mbele mumuone kirahisi?

Angalia hapo mtoto wa mama yenu katangulizwa kweye msafara Uganda kwenye masuala ya nishati hujiulizi kaendakama nani kwenye msafara.

Halafu jiongeze sekta gani na wizara gani inaongoza kwa dili na ujanja ujanja na haileti tija zozote.
Screenshot_20230811_214443_Gmail-750x375.jpg
 
Back
Top Bottom