Elibariki Mshombe
Member
- Aug 11, 2016
- 28
- 8
Tutaona mengi awamu hii.
Ndio maana nikasema mitazamo yetu imeathiriwa sana,mkuu kumbuka kilichokuwa kinajadiliwa ni issue itakayohusu public appearance na ndio maana waandishi wamo mdami,do you think vikao vyote vya kijeshi na viongozi wa serikali waandishi wanakuwepo? Open your mind,the world is not all about kutafuta kasoro za mtu mwingine hata kama hazipo,otherwise you must be pursuing a career of pointing other peoples mistakes.Haya yanafanyika sana na yameshafanyika sana huko nyuma..siwezi kukwambia sana lakini vikao vingi vya wanasiasa na wanajeshi kwa sehemu kubwa media huwekwa kando na mara nyingi ni wanasiasa ndio huwafuata wanajeshi
Kumbuka hili ni jeshi na ndio maana ni nadra hata kuonekana mitaani kama organ nyingine za ulinzi na usalama
Leo hii kila mahali kwenye mitandao ni mapicha ya wanajeshi wameitwa na mkuu wa mkoa? Pls pls pls...! Hii haiko sawa hata tuipake rangi ya kuvutia kiasi gani
Unaweza kutoa mfano wa mkuu yoyote wa mkoa aliyewahi kutoa maagizo kwa jeshi ili yafanyiwe utekelezaji?Mkuu kaa ukijua Makonda ndio mwenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar hivyo sio Jeshi tu hadi Polisi,Magereza,TISS,Uhamiaji na Zimamoto yeye ndio anaongoza kikako. Na katika kanuni za vyombo vya ulinzi na usalama ni kwamba Mfuasi kazi yake ni kumshauri tu Mkuu na Mkuu yeye ndio hutoa amri na huamua nini kifanyike.
Hilo baraza la ulinzi na usalama la Taifa Magu ndio Top hata kama halijui jeshi ila Mkuu wa Majeshi kazi yake ni kumshauri na Magu ndio hutoa amri. Mkuu hizi ni taratibu usifikiri jeshini wanaishi kisiasa nasikia huko ni nidhamu ya hali ya juu kama upo Vatican.
Sema unataka kutetea upuuzi trust me this is totally wrong...mangapi yanaripotiwa tena very crucial hatuonyeshwi mapicha? Mbona mengi tu ni press release?Ndio maana nikasema mitazamo yetu imeathiriwa sana,mkuu kumbuka kilichokuwa kinajadiliwa ni issue itakayohusu public appearance na ndio maana waandishi wamo mdami,do you think vikao vyote vya kijeshi na viongozi wa serikali waandishi wanakuwepo? Open your mind,the world is not all about kutafuta kasoro za mtu mwingine hata kama hazipo,otherwise you must be pursuing a career of pointing other peoples mistakes.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/745676/We ndio kiazi kweli hivi unajua kama mamlaka za kiraia zina nguvu kuliko jeshi katika nchi hii? Hata kama wamesotea we unajua Mkuu wa majeshi pamoja na ukuu wake wote amepitwa kimamlaka na Raia wengi nchi hii ki protokali?
Mkuu ebu kuwa muelewa, Makonda ndio kiongozi wa kamati ya ulinzi na uasalama mkoa wa Dar hao wanajeshi,polisi nk wakikaa katika kikao Makonda ndio Boss yeye anamamlaka yake katika mambo ya uongozi wa mkoa sio kwamba atatoa amri jeshini kwamba kifanyike nini. Ila wanapokua katika kikao yeye ndio uletewa uchambuzi wote wa taarifa na yeye huzifanyia kazi kwa mamlaka yake aliyopewa. Sijui kama utakua umepata mwanga kidogo hapo kama bado sema.Unaweza kutoa mfano wa mkuu yoyote wa mkoa aliyewahi kutoa maagizo kwa jeshi ili yafanyiwe utekelezaji?
Karibu tena.https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/745676/
Kwa kurejea uzi wako huo, naomba niishie hapa.
Mkuu tatizo hao jamaa wapo kisiasa zaidi kasababu Makonda anawanyoosha UKAWA basi kila kitu wanampinga tu.Ndio maana nikasema mitazamo yetu imeathiriwa sana,mkuu kumbuka kilichokuwa kinajadiliwa ni issue itakayohusu public appearance na ndio maana waandishi wamo mdami,do you think vikao vyote vya kijeshi na viongozi wa serikali waandishi wanakuwepo? Open your mind,the world is not all about kutafuta kasoro za mtu mwingine hata kama hazipo,otherwise you must be pursuing a career of pointing other peoples mistakes.
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani mbwatukaji? [emoji12] [emoji12]ivii ww umefika ata darasa la nne kwelii mana nilichokiandika ata mtoto wa darasa la nne hawezi soma na akabwatuka kama ulivyobwatuka ww....embu naomba unioneshe au u bold maandishi niliyoandika kuonesha makonda ni msemaji wa jeshi la wananchi
bado hujanijibu swali langu......nijibu alafu nitaainisha ni nani mbwatukajiSasa kati ya mimi na wewe ni nani mbwatukaji? [emoji12] [emoji12]
Wenye akili tushaelewa sio kama wewe k.i lazanaona unajaribu kupotosha watu kwa mitizamo yako hasi iliyotawala fikra za ubongo wako.....unaweka picha mwenyewe pasipo habari yoyote kuhusu io picha alafu unaanza kutoa arguments zako za kitoto we jamaa wa waaap jiheshimu bana mana point zako zote unazotoa zipo emotionally na sio logically.......
[emoji121] [emoji419] [emoji419] [emoji85]Ngoja tusubiri kauli ya mkuu wa majeshi
Naomba tuchangie bila mihemko post isije kupigwa kipapai
Huu ni ujumbe mkubwa sana mkuu! From miles away i see them serving a zero purpose!Siwezi kusema hata siku moja kwamba nimeanza kulidharau jeshi letu mahiri...lakini ifike mahali lisijisahau nini dhima yake katika Taifa hili halafu lijitenge na wasiasa (uchwara)