Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,335
Reaction score
866,867
1472571958771.jpg
 
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
 
Siwezi kusema hata siku moja kwamba nimeanza kulidharau jeshi letu mahiri...lakini ifike mahali lisijisahau nini dhima yake katika Taifa hili halafu lijitenge na wasiasa (uchwara)
Mimi mwenyewe hiyo picha imenishangaza sana...But on the other hand, umesahau uteuzi wa baadhi ya wanajeshi kwenye ukatibu mkuu, uDC, uRC nk?!

Hali si nzuri kabisa...
 
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
Tatizo ni kuwa uyo aliye waita ni mwenyekiti wa usalama Dsm
 
Mimi mwenyewe hiyo picha imenishangaza sana...But on the other hand, umesahau uteuzi wa baadhi ya wanajeshi kwenye ukatibu mkuu, uDC, uRC nk?!

Hali si nzuri kabisa...
Tunatarajia kupata taarifa ya msemaji wa Jeshi
 
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
Kwa kweli jeshi nilikua naliheshimu ila kujiingiza kwenye siasa soon litakua ka jeshi la police na watapoteza dira, kujiingiza kwenye mambo uchwara, maana jeshi linaweza kuona madaraka muhimu aisee
 
Back
Top Bottom