Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kila mwanasiasa kulitumia jeshi kwa kujijenga kisiasa ni hatari kwa ustawi taifa.......ni kioja nimeona kwa Mara ya kwanza...... !
 
Ulinzi na usalama wa mkoa unalindwa na jeshi? Lazima haya mambo yawe na levels. Mwisho wa siku hata katibu kata ataita wanajeshi.
Kwahiyo tukisema vyombo vya ulinzi na usalama jeshi halimo? Makonda ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar hivyo huwezi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha yeye. Sasa hao jamaa wanamaadhimisho yao lazima wapate baraka toka kwa mkuu wa mkoa au tatizo hizo picha.
 
Kwa faida na ya wengine tu Mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa. Kwahiyo hao wote kazi yao ni kumshauri na yeye hutoa amri.
...kwahiyo hao wote (wanajeshi?)kazi yao ni kumshauri (Makonda? )na yeye hutoa amri...! Mwisho wa kunukuu! mama yangu mama yangu eeeehhhh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
"There's a reason you separate military and police. One fights the enimies of the state, the other serves and protects the people. When the military becomes both, then the enimies of the state tend to become the people" ~ William Adama.
And so, what is the conclusion about the post and picture?
 
Kwa vyovyote wananchi watataka ufafanuzi juu ya hili
Na hata kama wangekaa hiki kikao hakukuwa na haja ya kualika media
Hivi jeshi halioni kwamba limeingizwa mkenge na huyu dogo?
Wanajeshi ni wataaluma huyu ni kiongozi tu wa kisiasa imekuwaje wakakubali kuingia kwenye huu mtego?
Kile kipindi Mwamunyange kafichwa nilizani anapewa elimu murua ya kizalendo na jeshi letu kumbe ndio kaja na haya ya kuruhusu uchwara jeshini!!?Yeleuwiiii[emoji86]
 
Si alisema wote mabos wenu ni ccm???au mnajitoa ufaham
 
Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo,mgeni akija kwako ukamwacha mwanao akampandia pandia na kulia chakula chake,usishange siku moja akatoa amri kama unavotoa akataka itekelezwe hata kama itakuwa na madhara kwa nduguze na majirani
 
"There's a reason you separate military and police. One fights the enimies of the state, the other serves and protects the people. When the military becomes both, then the enimies of the state tend to become the people" ~ William Adama.
Uyo william wa nchi gan,i wsh angekua mmarekani then nmuulze kaz za C.i.A na army km zpo sawa
 
mkuu kubali umepuyanga na hisia zimekutawala zaidi pasipo utashi juu ya hii picha uliyoipost mwenyewe huo ndioo ukweli.....kama picha haina maelezo why uanze kutuletea arguments zako zilizokaa kimahaba zaidi....mf. je kama jeshi liliona ni vyema likamshirikishe mkuu wa mkoa na safu ya uongozi wake ktk suala zima la usafi...??? napo bado utaendelea kulikosoa jeshii mkuu??? kisaa mkuu wa mkoaa anapinga maandamo ya trh 1.....tusiwe bias kwenye masuala yanayoitaji taarifa makini mkuu
Tangu lini makonda akawa msemaji wa jwtz? Acha kujivua ufahamu wewe
 
watu hawawaogopi polisi tena baada ya kuanza kutumika kisiasa!serikali kwa kuona hilo imeona ijaribu kwa jeshi letu adhimu!dah!nimesoma Makongo na nimeishi nao for two years!heshimu niliyo wajengea naona inaanza kushuka!hivi wananchi wakiacha kuliogopa jeshi lao uko mbeleni usalama utakuwepo?

Our Army is Easly Evolving into Jeshiccm,the Same Way Our Police Force Evolved into Policcm!

Lishajishushia Heshima Søö Litakuwa Jeshiccm!

watu wameacha kuwaogopa Polisi!Sasa unategemea Serikali ifanye nini ili Kuwatulizia na Kuwatishia Wananchi?

The Public is No Longer Afraid of Our Police Force!

Jeshi letu limeenda wapi?JWTZ Mnafanya Nini?

Soon Litakuwa Kama Policcm!

Jeshi Letu,dah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaacha kuliogopa nyuma ya keyboard, nenda post yao yyte kawazngue
 
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
Makonda kwa nafasi yake ni mwanasiasa? Nakumbuka Bukoba enzi za kahawa ya magendo miaka is mwanzoni mwa 80...chini ya Colonel wa jeshi
 
Makonda kwa nafasi yake ni mwanasiasa? Nakumbuka Bukoba enzi za kahawa ya magendo miaka is mwanzoni mwa 80...chini ya Colonel wa jeshi
Nafasi yake sio ya kitaaluma yeyote anaweza kuteuliwa haihitaji ujuzi wala vyeti vya ufaulu
 
watu hawawaogopi polisi tena baada ya kuanza kutumika kisiasa!serikali kwa kuona hilo imeona ijaribu kwa jeshi letu adhimu!dah!nimesoma Makongo na nimeishi nao for two years!heshimu niliyo wajengea naona inaanza kushuka!hivi wananchi wakiacha kuliogopa jeshi lao uko mbeleni usalama utakuwepo?

Our Army is Easly Evolving into Jeshiccm,the Same Way Our Police Force Evolved into Policcm!

Lishajishushia Heshima Søö Litakuwa Jeshiccm!

watu wameacha kuwaogopa Polisi!Sasa unategemea Serikali ifanye nini ili Kuwatulizia na Kuwatishia Wananchi?

The Public is No Longer Afraid of Our Police Force!

Jeshi letu limeenda wapi?JWTZ Mnafanya Nini?

Soon Litakuwa Kama Policcm!

Jeshi Letu,dah!
KATIBA, katiba mbovu, katiba mbovu sana
 
Back
Top Bottom