Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Nimeshabaki mtu wa kuandika post na kuzifuta!
Hahisi ntaitwa mchochezi, inabidi nianze kutumia alama
badala ya maneno
 
dah hii si kawaida ... sikuwahi kumuona Keenja, Sadiq, Makamba, Kandoro, au mkuu wa mkoa yeyote akiiingilia mamno ya wanajeshi. hapa naona kama jeshi letu limedhalilishwa.
 
Kwa faida na ya wengine tu Mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa. Kwahiyo hao wote kazi yao ni kumshauri na yeye hutoa amri.
kwa faida gani we unapotosha alafu unasema kwa faida kama hujui uliza au kaa kimya kama mkoa ukiita ulinzi jeshini na nchi ikaite ulinzi wapi mwenye dhamana ya kulitumia jeshi la wananchi ni Rais peke yake we unafikiri kila mkoa ukaita hawa wakuu itakuaje
 
Labda kamaanisha lile la mgambo kwakuwa pia nalo ni jeshi
 
Wahafidhina ndani wanamharibia Magufuli. Magufuli kwa hulka zake anapenda sana kutofautisha vyama na serikali.
 
Mmh maswali niliyojiuliza nimeshindwa kujib...ntaitwa mchochezi ngoja niache..police state
 
kwa faida gani we unapotosha alafu unasema kwa faida kama hujui uliza au kaa kimya kama mkoa ukiita ulinzi jeshini na nchi ikaite ulinzi wapi mwenye dhamana ya kulitumia jeshi la wananchi ni Rais peke yake we unafikiri kila mkoa ukaita hawa wakuu itakuaje
Kichaa mwingine kutoka Ufipa
 
Picha inaonesha ni jins gani tunaelekea mwelekeo fulan wa kubana Uhuru wa wanainch kwa kutumia vyombo vya ulinzi
 
Sema unataka kutetea upuuzi trust me this is totally wrong...mangapi yanaripotiwa tena very crucial hatuonyeshwi mapicha? Mbona mengi tu ni press release?
Hivi kwani kila analofanya Makonda liwe na wide coverage kama hii?
So the problem ni kila anachofanya Makonda lazima kionekane kwenye picha?..unaposema wide coverage kumbuka hii ni dar sio kigoma,kuna waandishi wengi sana wanaosaka habari sababu jiji lina matukio,press conference ya jiji haiwez fanana na ya mji, pia mkuu wa mkoa hana msemaji wake,njia pekee ya kuwafikia wananchi wake ni through media na hizo accounts zake za mtandaoni. Pia kuna mengi tu wanayafanya wakuu wa mikoa na hayaendi on air.
 
Back
Top Bottom