Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

naona unajaribu kupotosha watu kwa mitizamo yako hasi iliyotawala fikra za ubongo wako.....unaweka picha mwenyewe pasipo habari yoyote kuhusu io picha alafu unaanza kutoa arguments zako za kitoto we jamaa wa waaap jiheshimu bana mana point zako zote unazotoa zipo emotionally na sio logically.......
 
Aisee kama umetoka usingizini nawa uso kwanza kisha pata japo kikombe cha chai mavune yakutoke usome na kutafakari kwa makini ndio uje uchangie
 
"There's a reason you separate military and police. One fights the enimies of the state, the other serves and protects the people. When the military becomes both, then the enimies of the state tend to become the people" ~ William Adama.
 
Haya sasa tumekaa mkao wa kula tayari, leta point logically sasa tuachane na hizi emotionally.

Waiting.....
 
"There's a reason you separate military and police. One fights the enimies of the state, the other serves and protects the people. When the military becomes both, then the enimies of the state tend to become the people" ~ William Adama.
1472574163911.jpg
 
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
Mkuu si unajua jeshi liko chini ya amiri mkuu?? Si unajua amiri mkuu yuko chama gani?
 
watu hawawaogopi polisi tena baada ya kuanza kutumika kisiasa!serikali kwa kuona hilo imeona ijaribu kwa jeshi letu adhimu!dah!nimesoma Makongo na nimeishi nao for two years!heshimu niliyo wajengea naona inaanza kushuka!hivi wananchi wakiacha kuliogopa jeshi lao uko mbeleni usalama utakuwepo?
Bora una imani nao wewe..siku nyingi walikosa mw/wanasiasa wa kuwaendesha. But they're easy going.
Our Army is Easly Evolving into Jeshiccm,the Same Way Our Police Force Evolved into Policcm!
Sio vema jeshi likajinasibu na wanasiasa kwenye nchi huru na ya kidemokrasia kama Tanzania! Jeshi letu ni mahiri na lina heshima ya kimataifa! Hizi shughuli za michezo ya kisiasa lijitenge nazo kabisa ili isitafsiriwe kuwa linatumika na kutumiwa na wanasiasa
Lishajishushia Heshima Søö Litakuwa Jeshiccm!
Tunachanja mbuga kuelekea vichakani
watu wameacha kuwaogopa Polisi!Sasa unategemea Serikali ifanye nini ili Kuwatulizia na Kuwatishia Wananchi?
Mimi mwenyewe hiyo picha imenishangaza sana...But on the other hand, umesahau uteuzi wa baadhi ya wanajeshi kwenye ukatibu mkuu, uDC, uRC nk?!

Hali si nzuri kabisa...
The Public is No Longer Afraid of Our Police Force!
Hili halijakaa poa kabisa,jeshi letu linaanza kushuka thamani.....
Jeshi letu limeenda wapi?JWTZ Mnafanya Nini?
Kwa kweli jeshi nilikua naliheshimu ila kujiingiza kwenye siasa soon litakua ka jeshi la police na watapoteza dira, kujiingiza kwenye mambo uchwara, maana jeshi linaweza kuona madaraka muhimu aisee
Soon Litakuwa Kama Policcm!
Tumefika huko. Hatari kwelikweli
Jeshi Letu,dah!
 
naona unajaribu kupotosha watu kwa mitizamo yako hasi iliyotawala fikra za ubongo wako.....unaweka picha mwenyewe pasipo habari yoyote kuhusu io picha alafu unaanza kutoa arguments zako za kitoto we jamaa wa waaap jiheshimu bana mana point zako zote unazotoa zipo emotionally na sio logically.......
Ukiangalia picha huwezi pata ujumbe?? Ivi ukiwa licccm lazima uwe na akili mbovu?
 
Aisee kama umetoka usingizini nawa uso kwanza kisha pata japo kikombe cha chai mavune yakutoke usome na kutafakari kwa makini ndio uje uchangie
mkuu kubali umepuyanga na hisia zimekutawala zaidi pasipo utashi juu ya hii picha uliyoipost mwenyewe huo ndioo ukweli.....kama picha haina maelezo why uanze kutuletea arguments zako zilizokaa kimahaba zaidi....mf. je kama jeshi liliona ni vyema likamshirikishe mkuu wa mkoa na safu ya uongozi wake ktk suala zima la usafi...??? napo bado utaendelea kulikosoa jeshii mkuu??? kisaa mkuu wa mkoaa anapinga maandamo ya trh 1.....tusiwe bias kwenye masuala yanayoitaji taarifa makini mkuu
 
mbibilu sitakereka na uandishi wako! Naona uko nyuma sana ya wakati chukua muda upate taarifa zaidi labda inaweza kukusaidia kujua what is trending now..!
Halafu nimepost jukwaa la picha ambalo usually lina maelezo mafupi
 
Back
Top Bottom