Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,212
- 866,477
- Thread starter
- #161
Bado naona uko upande wa utetezi ni haki yako kwakuwa wote hatuwezi kufanana mitazamo! Lakini angalia unatetea nini na unamtetea naniSo the problem ni kila anachofanya Makonda lazima kionekane kwenye picha?..unaposema wide coverage kumbuka hii ni dar sio kigoma,kuna waandishi wengi sana wanaosaka habari sababu jiji lina matukio,press conference ya jiji haiwez fanana na ya mji, pia mkuu wa mkoa hana msemaji wake,njia pekee ya kuwafikia wananchi wake ni through media na hizo accounts zake za mtandaoni. Pia kuna mengi tu wanayafanya wakuu wa mikoa na hayaendi on air.
Kuna hawa vijana wanne wako very ambitious wana ndoto za mbali na matarajio makubwa
-Lameck
-Makamba jr
-Makonda
-Kigwangala
Makamba kupunguza/kapungua spidi kidogo kutokana na mapito ya kisiasa
Kigwangala kidogo anacheza kwa step na kisomi zaidi kama Makamba
Lakini hawa wawili hawa waliobaki ni hatari sana! Wako tayari kufanya chochote kiwe kibaya ama kizuri alimradi tu malengo yao yatimie na wabaki kwenye headlines ..historia zao zinajulikana wazi
Kuna namna nyingi ya kuwakilisha habari tumeshuhudia mara nyingi tu picha nje ya kikao sio huko ndani...picha ya Makonda na wanajeshi ilikuwa ya kimkakati zaidi kuliko kuhabarisha