Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,117
Reaction score
879
Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria

Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za usafiri wa umma jijini Dar es Salaam.
IMG-20260929-WA0009.jpg
 
Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria

Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za usafiri wa umma jijini Dar es Salaam.View attachment 3680429
Madereva toka Zanzibar waombe kwa wingi ili kuimarisha muungano.
 
Back
Top Bottom