Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,764
- 92,236
Hamjambo!
Leo nimetoka Kariakoo saa mbili hivi. Nikapanda Mwendokasi. Aiseeh! Nimenyooshwa mgongo, mbavu zimebinywa, shingo imekandamizwa, kiuno kimebamizwa, miguu imekanyagwa.
Mwendo wa nusu saa tuu. Yale maumivu ya kifua, na mgongo yaliyokjwa yananisumbua siku nyingi kutokana na kazi yangu ya kukaa muda mrefu, nikiandika. Maumivu yote yameisha.
Mwendokasi ni tiba. Mwendokasi ni therapy halisi.
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam