Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Kweli hizi ni zama za mwendokasi

Jeshi nalo limengia mkenge? Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, huku kwenye UKUTA wamefuata nini?
 
Pamoja na yote haya kufanyika hadharani bado kuna watu wanajifanya hawayaoni.ikiwa hadharani yanafanyika haya mafichoni je?.cc mzee wa zama mpya
 
Jeshi nalo limengia mkenge? Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, huku kwenye UKUTA wamefuata nini?

Mkuu umekose kidogo, sio vichakani ni machakani yaani tunazid kutokomea gizani
Kwa vyovyote wananchi watataka ufafanuzi juu ya hili
Na hata kama wangekaa hiki kikao hakukuwa na haja ya kualika media
Hivi jeshi halioni kwamba limeingizwa mkenge na huyu dogo?
Wanajeshi ni wataaluma huyu ni kiongozi tu wa kisiasa imekuwaje wakakubali kuingia kwenye huu mtego?
 
Ukiangalia picha huwezi pata ujumbe?? Ivi ukiwa licccm lazima uwe na akili mbovu?
Hiyo picha mi naona inaeleza wazi kabisa nchi inapoelekea lakini nashangaa huyo jamaa anaitaji maelezo.......

Au jamaa hana macho mana yawezekana ukawa na macho usione pia.........
 
Tatizo ni mkuu wa mkoa kukutana na jeshi na kuzungumzia yale yatakayofanywa na jeshi au kuna kitu kingine?...wanasiasa wameharibu sana mitazamo yetu,hivi sasa hatuwezi kuliangalia jambo bila kutafuta chochote cha kukosoa hata kama hakipo.
 
Napata Amani kwa kweli kuona vijana tuliowapa dhamana ya uongozi wakishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika shughuli za maendeleo.
 
Tatizo ni mkuu wa mkoa kukutana na jeshi na kuzungumzia yale yatakayofanywa na jeshi au kuna kitu kingine?...wanasiasa wameharibu sana mitazamo yetu,hivi sasa hatuwezi kuliangalia jambo bila kutafuta chochote cha kukosoa hata kama hakipo.
Haya yanafanyika sana na yameshafanyika sana huko nyuma..siwezi kukwambia sana lakini vikao vingi vya wanasiasa na wanajeshi kwa sehemu kubwa media huwekwa kando na mara nyingi ni wanasiasa ndio huwafuata wanajeshi
Kumbuka hili ni jeshi na ndio maana ni nadra hata kuonekana mitaani kama organ nyingine za ulinzi na usalama
Leo hii kila mahali kwenye mitandao ni mapicha ya wanajeshi wameitwa na mkuu wa mkoa? Pls pls pls...! Hii haiko sawa hata tuipake rangi ya kuvutia kiasi gani
 
Sasa mkuu wa mkoa anatoa amri kwa jeshi?
Kwa utawala wa mwaka huu hata mkuu wa wilaya anaweza kutoa. Atakwambia wanajeshi wanaotoka kambi zilizoko wilayani hapo wote wako chini yake kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama. Tuna ma-amiri jeshi wakuu wengi siku hizi.
 
Kwa faida na ya wengine tu Mkuu wa mkoa ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa. Kwahiyo hao wote kazi yao ni kumshauri na yeye hutoa amri.
Ulinzi na usalama wa mkoa unalindwa na jeshi? Lazima haya mambo yawe na levels. Mwisho wa siku hata katibu kata ataita wanajeshi.
 
Back
Top Bottom