Barabara za mwendokasi zitungiwe sheria yake

Barabara za mwendokasi zitungiwe sheria yake

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,889
Reaction score
17,295
Usafiri wa mwendokasi kama hautatungiwa sheria zake itakuwa kazi bure.

Hali ilivyo sasa ni vuluvulu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Si hiyo tu, dodoma kuna ring road lkn malori bado yanapita mjini..mkuu wa mkoa yupo, DC, Tanroads na matrafiki barabarani nje ya mji wapo..halafu useme kuna serikali hii nchi..!
Barabara ya mwendo kasi ilitakiwa iwekewe digital road block kwenye kila kituo..inayosoma plate namba ili kuruhusu gari ipite, bus zote za mwendo kasi zitapita..hizo zingine zote sijui serikali, jeshi hakuna kupita! Hawa ndio wanafanya gari zingine na bodaboda wavunje sheria kupita kwenye hiyo barabara..
 
Usafiri wa mwendokasi kama hautatungiwa sheria zake itakuwa kazi bure.

Hali ilivyo sasa ni vuluvulu
Hakuna mahali kuna hatari ya kugongwa na bodaboda kama kwenye njia za mwendo kasi kuanzia Kimara hadi Usalama Magomeni.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom