Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,171
- 866,428
- Thread starter
- #101
Nimeamua kujiridhisha kama niko sahihi kwa kumpigia kanali mstaafu wa jeshi ninayefahamiana naye
Kimsimgi hakubaliani na hilo jambo pamoja na kwamba waliokutana na Makonda ni maofisa wa kawaida jeshini
Kuna levels za kukutana na wanasiasa tena kwa mambo ambayo ni sensitive ama ya dharura
Hili si sensitive wala si dharura lakini kama kulikuwa na ulazima wa kukutana na Makonda yeye ndio alipaswa kufunga safari na kwa namna yoyote ile halikuhitahi media coverage
Kilichopo nyuma ya haya yote ni panic juu ya ukuta