Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,561
11,443
Shalom,

Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?

Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.

Wadiz
 
kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?

Yohane 4:7-29

Basi, mwanamke mmoja Msamaria akafika kuteka maji. Yesu akamwambia, “Nipatie maji ninywe.” (Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.) Lakini huyo mwanamke akamwambia, “Wewe ni Myahudi; mimi ni mwanamke Msamaria! Unawezaje kuniomba maji?” (Wayahudi hawakuwa na ushirikiano na Wasamaria katika matumizi ya vitu). Yesu akamjibu, “Kama tu ungalijua zawadi ya Mungu na ni nani anayekuambia: ‘Nipatie maji ninywe,’ ungalikwisha mwomba, naye angekupa maji yenye uhai.” Huyo mama akasema, “Bwana, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yenye uhai?

LUKA 7:36-50
  • MWANAMKE MTENDA DHAMBI AMIMINA MAFUTA KWENYE MIGUU YA YESU
  • AFUNDISHA KUHUSU MSAMAHA AKITUMIA MFANO WA MTU MWENYE DENI
Watu wanaitikia kwa njia tofauti mambo ambayo Yesu anasema na kufanya, ikitegemea hali ya moyo wao. Hilo linaonekana wazi katika nyumba fulani huko Galilaya. Farisayo anayeitwa Simoni anamkaribisha Yesu kwenye mlo, labda ili amwone kwa ukaribu mtu anayefanya kazi hizo za ajabu. Huenda Yesu anakubali kwa sababu anaona hiyo ni nafasi ya kuwahubiria wale waliopo, kama alivyokubali pindi nyingine alipoalikwa kula pamoja na wakusanya kodi na watenda dhambi.
 
Shalom,

Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?

Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.

Wadiz
Ni Mungu aliyevaa Mwili wa Damu na nyama Ili afe msalabani Auokoe Ulimwengu
Mission yake ilikuwa hiyo tu.
 
Wanawake ni chanzo Cha anguko la Dunia hii!Sio Yesu tu hata hata Issac Newton,Nicola Tesla, Galileo Galilei n.k waliwakwepa wanawake. Hata hivyo Mungu aliweka wazi Mwanamke asiwe kiongozi Muislamu wa kweli na Mkristo wa Kweli kamwe hawezi kuongozwa na Mwanamke.Wanaume wa Tanzania tumeuza haki zetu tujiandae na anguko kubwa zaidi kwenye Kila jambo.
 
Unaulizaje hivyo wakati imani yako inasema Isa atarudi duniani kuoa na kuvunja misalaba...!
Hizo ni kamba za jamaa flani hivi.
 
Shalom,

Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?

Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.

Wadiz
Unaona hali inayopitia CCM kwa sasa? Kwanini? Unadhani CCM Wana furaha? Ni kwasababu ya technical mistake waliofanya....Kristo aliona Mbali, kumbuka alikua Mtoto wa kijiweni, Mtoto wa seremala
 
Shalom,

Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake?

Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ?
Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea nyingi na majibu.

Wadiz
WAKATOLIKI kila kitu tunaita fumbo na kwamba Papa ndio anajua maana ssi waumini ni walei, si kweli.
Yesu ni Mungu, Mungu haoi wala kuolewa maana yeye ndio anayeumba.
Mariamu alikuwa chimbo tu na ndio maana hakuna shahawa zilizo hitajika kuwekwa ili Yesu azaliwe bali ni uweza wa Roho mtakjatifu.
 
Back
Top Bottom