Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa.
mifano miwili
1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.
Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.
Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura.
Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.
Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali.
Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.
Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia.
Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi.
Sasa mimi nauliza kati ya...
Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin.
Ushahidi unaotolewa...
Inaonekana huyu anamashavu makubwa.
Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala).
Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja.
Kwahiyo kushangilia...
Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi
Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa .
Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo!
1. Mara Mwenyekiti wa maisha...
2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake...
3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga...
4. ...n.k.
Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii.
https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
Waziri wa Fedha Mhe.Dkt Mwigulu Nchemba amesema Marehemu Mzee Wilfred Ngure ambaye ni Baba Mkwe wake alikuwa ni Mtu mcha Mungu na mpenda Elimu.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Machi 25, 2025 wakati wa Ibada rasmi ya kuaga Mwili wa mzee Wilfred Ngure ambaye alifariki Dunia Machi 22, 2025 Nchini...
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.