Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

Kwa sababu asilimia kubwa sisi ni wa vipato vidogo (masikini)

Tunaofurahishwa wote ni wale hohe hahe 😂
Tajiri muda wake mwingi anautumia kwenye miradi yake hawezi ku focus na maisha binafsi ya mtu kiasi hicho

By the way comment za waja zinanichekesha
Watu wapo serious free jukusi 🤣🤣
Je hii si laana kweli ndugu?

Nini kifanyike ili tuepukane na jamii hii mbaya?
 
Siku hizi kila mtu ana stress za kiuchumi, na mtu akiwa na njaa, ubongo wake unakuwa unawaza kupambana sio kupendana. Ili upendo urudi, inabidi kwanza tupambane na umaskini unaowafanya watu wawe na roho mbaya.
Sawa mkuu
Tuanzie wapi sasa ngazi ya chini kabisa kushinda umaskini?
 
mbona wao wanabeza juhudi za wananchi katika kipambana na mafisadi wao wanajiunga na chama kile cha kifisadi na kuanza kututukana na kutusema wananchi vibaya sisi pia watanzania tunawachukia na hatuwasupot tena kwahiyo jombaa sisi watanzani tunajielewa jombaa acha mihemko
 
Kwa hiyo haina athari?

Kwa haya yanayo endelea kwenye jamii kweli? Sio issue ya jux tu siku hizi hata mtaani ukinunua hata gari IST bado wana kuona mwiba
Again mind your business ✔️
Labda kama na wewe ni masikini mwenzetu
Maana kiwango chako cha kufuatilia na kuumizwa na mambo ya jukusi kipo juu sana itakua huna kazi
 
Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?

Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?

Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa maana nje kuna wachawi wengi wameachika, wana stress, hawana maisha so wanatumia kila wawezalo kuweka mtu chini.

Na kuna mtu akaja na uzi ambao uko titled. "Jux kayakanyaga huko"
Thread 'Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?' https://www.jamiiforums.com/threads...-waja-wanauliza-kwanini-kakonda-sana.2461981/

Sasa unajiuliza Kwahiyo kumbe ulikua unasubiri ayakanyage?

Mbona kipindi anasajiliwa Warner music stori zake hazikuvuma? Kwanini hakupata support kutoka huku kwa watu wake ila wanaijeria?
View attachment 3650038

Lakini pia haitoshi... Humu Jukwaani japo mimi sio mchangiaji sana huwa naona jinsi watu wanavurugwa wakiona mtu kawazidi kila kitu kwenye hoja.

Kuna member anaitwa Elevenn au de Gunner ambae binafsi huwa napendezwa na uandishi wake ila watu wanamcrash kisa anapenda kujiona.

Kujiona kwake kuna uhusiano gani na wewe? Je kwanini usistick kwenye mada na sio mtu? Watu humu ni kama wale wale tu wa mitaani.. Ni wana nongwa na chuki binafsi. Haya sasa mtu akipigwa ban wewe unapata faida gani?

Sasa hivi kuna movement za kumchokoza mtu makusudi alafu wanakusema kwa mods umewatukana. Si ni utoto na ujinga kabisa huo?

Yaani kuna muda nasema hili li nchi limelaanika kabisa.

Ukija kwenye siasa nako. Watanzania wa abaki kuongelea vichochoroni, hawana guts za kupigania haki zao, wanasiasa wanalambana miguu tu, yaani imekuwa bora ya wakoloni. Hii nchi kuishi inabidi ujifanye zombie tu kwa kweli.

Ni kheri hata wakoloni kuliko mtanzania aliyeshika nyadhfa. Huwa wanakua kama mbogo.

Hivi watanzania ni nani aliye waroga nyie? Jamani hivi na nyie mnaona kawaida tu?

Kwakweli mimi naona bora mjerumani arudi tu, awanyooshe watanzania. Hakuna watu humu, kuna nyumbu tu wanaotembea.

Nawasilisha
Hakuna Laana Mzee Acha ushamba, maisha ya Show off kama Msaanii na mtu maarufu watu wanakwendda na wewe kama ulivyokuja
 
Back
Top Bottom