KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 539
- Thread starter
- #81
Sijamtetea bali Nimeonyesha mpasuko kwenye jamiiMwanaume akimtetea mwanaume mwenzake na akimuonea huruma hii imekaaje kitaalamu

Wengi wao hawajawa "brainwashed" kama sisi.Mbona wenzetu wazungu wameweka kujicontrol?
Lipo sawa sanaMwanaume akimtetea mwanaume mwenzake na akimuonea huruma hii imekaaje kitaalamu
Daah ni kweliWengi wao hawajawa "brainwashed" kama sisi.
Tumejengewa mifumo ya kutokujiamini kuanzia ngazi ya familia.
Sawa mkuuZinaitwa gharama za umaarufu usichukulie personal
🤣🤣, unaelekea wapi?Nasanzuka
Cc: secretarybird
Nyumbani🤣🤣🤣, unaelekea wapi?
😂😂😂😂😂💔Sitaki kuitetea hoja yangu unasema je kuhusu hilo?
Nashindwa kuaelewa babes 😂😂😂😂😂😂😂💔
Ngoja amalize kupuliza mpepe aka ngada, anakurudia.Wewe kiumbe una id nyingi waiban na hii tujue na zingine unazomiliki..!! Hauko sawa unahitaji matibabu haraka sana..!!
Utalala hoi kujibizana na Eleven, Mi kuna muda namkejeli tu napita hivi.Nashindwa kuaelewa babes 😂😂
Hii ipo wazi kuna tatizo la kiufundi kwake 😢Utalala hoi kujibizana na Eleven, Mi kuna muda namkejeli tu napita hivi.
Kwa kweli maana nilikua nimechoka heh abegooooUmenichekesha kwamba hutaki kutetea tena hoja yako, ye aamue chakufanya.
Hao wengi ni watu wenye empty lives, ni failures na sadists wanao project failures zao kwa watu wengine.Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?
Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?
Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa maana nje kuna wachawi wengi wameachika, wana stress, hawana maisha so wanatumia kila wawezalo kuweka mtu chini.
Na kuna mtu akaja na uzi ambao uko titled. "Jux kayakanyaga huko"
Thread 'Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?' https://www.jamiiforums.com/threads...-waja-wanauliza-kwanini-kakonda-sana.2461981/
Sasa unajiuliza Kwahiyo kumbe ulikua unasubiri ayakanyage?
Mbona kipindi anasajiliwa Warner music stori zake hazikuvuma? Kwanini hakupata support kutoka huku kwa watu wake ila wanaijeria?
View attachment 3650038
Lakini pia haitoshi... Humu Jukwaani japo mimi sio mchangiaji sana huwa naona jinsi watu wanavurugwa wakiona mtu kawazidi kila kitu kwenye hoja.
Kuna member anaitwa Elevenn au de Gunner ambae binafsi huwa napendezwa na uandishi wake ila watu wanamcrash kisa anapenda kujiona.
Kujiona kwake kuna uhusiano gani na wewe? Je kwanini usistick kwenye mada na sio mtu? Watu humu ni kama wale wale tu wa mitaani.. Ni wana nongwa na chuki binafsi. Haya sasa mtu akipigwa ban wewe unapata faida gani?
Sasa hivi kuna movement za kumchokoza mtu makusudi alafu wanakusema kwa mods umewatukana. Si ni utoto na ujinga kabisa huo?
Yaani kuna muda nasema hili li nchi limelaanika kabisa.
Ukija kwenye siasa nako. Watanzania wa abaki kuongelea vichochoroni, hawana guts za kupigania haki zao, wanasiasa wanalambana miguu tu, yaani imekuwa bora ya wakoloni. Hii nchi kuishi inabidi ujifanye zombie tu kwa kweli.
Ni kheri hata wakoloni kuliko mtanzania aliyeshika nyadhfa. Huwa wanakua kama mbogo.
Hivi watanzania ni nani aliye waroga nyie? Jamani hivi na nyie mnaona kawaida tu?
Kwakweli mimi naona bora mjerumani arudi tu, awanyooshe watanzania. Hakuna watu humu, kuna nyumbu tu wanaotembea.
Nawasilisha
Sasa wewe li mtu kama li Lucas Mwashambwa utaachaje kulitukana?Kuna member anaitwa @Elevenn au de Gunner ambae binafsi huwa napendezwa na uandishi wake ila watu wanamcrash kisa anapenda kujiona.
Kila heri mkuu. 😂Nyumbani🤣
Nikaona nitumie msemo wako
Mkuu sio watanzania tu almost dunia yote ndivyo ilivyo. Ushawahi kujiuliza kwanini only fans inatengeneza pesa nyingi kuliko space x? Kwanini Meta ina thamani kubwa kuliko kampuni ya ToyotaIla aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?
Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?
Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa maana nje kuna wachawi wengi wameachika, wana stress, hawana maisha so wanatumia kila wawezalo kuweka mtu chini.
Na kuna mtu akaja na uzi ambao uko titled. "Jux kayakanyaga huko"
Thread 'Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?' https://www.jamiiforums.com/threads...-waja-wanauliza-kwanini-kakonda-sana.2461981/
Sasa unajiuliza Kwahiyo kumbe ulikua unasubiri ayakanyage?
Mbona kipindi anasajiliwa Warner music stori zake hazikuvuma? Kwanini hakupata support kutoka huku kwa watu wake ila wanaijeria?
View attachment 3650038
Lakini pia haitoshi... Humu Jukwaani japo mimi sio mchangiaji sana huwa naona jinsi watu wanavurugwa wakiona mtu kawazidi kila kitu kwenye hoja.
Kuna member anaitwa Elevenn au de Gunner ambae binafsi huwa napendezwa na uandishi wake ila watu wanamcrash kisa anapenda kujiona.
Kujiona kwake kuna uhusiano gani na wewe? Je kwanini usistick kwenye mada na sio mtu? Watu humu ni kama wale wale tu wa mitaani.. Ni wana nongwa na chuki binafsi. Haya sasa mtu akipigwa ban wewe unapata faida gani?
Sasa hivi kuna movement za kumchokoza mtu makusudi alafu wanakusema kwa mods umewatukana. Si ni utoto na ujinga kabisa huo?
Yaani kuna muda nasema hili li nchi limelaanika kabisa.
Ukija kwenye siasa nako. Watanzania wa abaki kuongelea vichochoroni, hawana guts za kupigania haki zao, wanasiasa wanalambana miguu tu, yaani imekuwa bora ya wakoloni. Hii nchi kuishi inabidi ujifanye zombie tu kwa kweli.
Ni kheri hata wakoloni kuliko mtanzania aliyeshika nyadhfa. Huwa wanakua kama mbogo.
Hivi watanzania ni nani aliye waroga nyie? Jamani hivi na nyie mnaona kawaida tu?
Kwakweli mimi naona bora mjerumani arudi tu, awanyooshe watanzania. Hakuna watu humu, kuna nyumbu tu wanaotembea.
Nawasilisha
Mwambie afanye haraka! Nipo hapa namsubiri..!!Ngoja amalize kupuliza mpepe aka ngada, anakurudia.