Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,899
Tujirudishe kwenye vikundi vya kiuchumi na ushirikiano wa kijamii, wabongo tuna tabia ya kupenda kupambana mmoja mmoja kwa sababu ya kukosekana kwa uaminifu.Sawa mkuu
Tuanzie wapi sasa ngazi ya chini kabisa kushinda umaskini?
Tukijenga mifumo ya kuaminiana, tukaweka nguvu zetu pamoja , tunaweza kusaidiana kuanzisha miradi midogo midogo itakayowasogeza watu mbele.
Inabidi tuache kukumbatia mifumo ya elimu inayotufundisha kusubiri ajira, tuwekeze kwenye skills over certificates.