Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Taste-onja
Test-jaribu

Wasikuonje mara mbili mkuu?
Awkward Season 1 GIF by The Roku Channel.gif
 
Huo uwezo unapimwa na nini?
Mbona takwimu zote zinatuonyesha ukomo wenu ni mdogo sana na mna maamuzi mabovu?
Haya matukio mengi yanayotokea uliyoorodhesha sababu zake tambua wewe huwa unapewa matokeo tu.

Matokeo ndio hayo ya mwanamke kuuliwa au kupigwa, lakini mambo yakiwa yanaanza kwenda hovyo ndani ya nyumba huwa hatujui huchukua muda gani mpaka matokeo yatokee.

Nakwambia tena, mwanaume ni mvumilivu sana, lakini kadri unavyozidi kumkwaza akazidi kuishi na machukizo ya makwazo yako ndani yake, basi siku akiamua kuutua mzigo uliojaa kifuani mwake matokeo yake ndio hayo...

Wanawake mnatakiwa kujua wanaume sio malaika, nao wana maumivu hata kama wanajua kuvumilia, lakini ili aendelee kukuvumilia basi nawe punguza makwazo kwake ili asiishi na sumu yako ndani yake muda mrefu.
 
Sio udhaifu, na huo ndio uanaume wenyewe, mwanaume ni mtu wa action sio maneno maneno, ndio maana utaona mwanaume hajaumbiwa kuwa na maneno mingi, ila mwanamke ameumbiwa kuwa na maneno mengi, hivyo akiongea tu kwake anaona imetosha, ndio maana mwanamke akifika hatua ya kukasirika basi ataongeaaaa ndio maana huwa mnasema nimemchamba yaani kwamba nimemsema, sasa mwanaume haishii hapo kumsema anakuonyesha kwa vitendo na huo sio udhaifu.

Ukiongelea hoja ya sijui kuua hayo ni mengine kwasababu kwenye hilo hamna jinsia, wote wanaua
 
Haya matukio mengi yanayotokea uliyoorodhesha sababu zake tambua wewe huwa unapewa matokeo tu.

Matokeo hayo ya mwanamke kuuliwa au kupigwa, lakini mambo yakiwa yanaanza kwenda hovyo ndani ya nyumba huwa hatujui huchukua muda gani mpaka matokeo yatokee.

Nakwambia tena, mwanaune ni mvumilivu sana, lakini kadri unavyozidi kumkwaza akazidi kuishi na machukizo ya makwazo yako ndani yake,basi siki akiamua kuutua mzigo uliojaa kifuani pake matokeo yake ndio hayo...

Wanawake mnatakiwa kujua wanaune sio malaika, nao wana maumivu hata kama wanajua kuvumilia, lakini ili aendelee kukuvumilia basi nawe punguza makwazo kwake ili siishi na sumu yako ndani yake muda mrefu.
Mimi sijaongelea tukio specific.

Wanaume wanaua na kudhuru wanaume wenzao zaidi kuliko wanavyoua wanawake.
Na kwa sababu tofauti tofauti na si zote ni za kimapenzi. Hilo unaliongeleaje?
 
Compared to men, women are more aggressive and vicious. Their aggression appears in the form of subtle-debilitating emotional abuse: slander, manipulation, gaslighting, character assassination and covert narcissism.

A women can enter into a man's life and leave him completely shattered, broken-beyond and unable to emotionally recuperate. A state of affair which is worse than death.

Men are seen as aggressive because they've been at the helm of civilization since the dawn of time. The entire wheel of human civilization is hinged on The Patriachy, both in terms of Power and Influence. So whatever they do cannot go unnoticed and arouse emotional debate.

But unlike women who do almost many things for selfish reasons, 50% of men's cruelty benefits women. Men go to war for glory, aggrandizement and gold, which in the long run benefit women of his society.

Men want power for selfish reasons as being able to ensure security and continuation of his offsprings which are borne out of a woman and raised by a woman.

Bottom line is, women are great beneficiaries and stake-holders of Men's cruelty.......​
 
Siyo makosa tu, vipi wale wanaodhuru wengine au kuua kwa kukataliwa au kunyimwa kitu wanachokiomba au kukihitaji?

Na je, huo ukomo wa kuvumilia mambo upo kwa wanaume tu au wanawake pia wanao? mbona maamuzi huwa ni tofauti sana? huku upande mmoja ukielemea zaidi kwenye violence, kudhuru na kuharibu?
Unajua Kuna watu wanakuwa very egoist, watu kama hawa huchukulia kukataliwa au kunyimwa kitu ambacho kwao wanaona ni haki yao kama vile ume hurt their ego, hii huweza kupelekea watu ku act in aggressive way , na ninataka nikwambie si kila anayetenda ukatili au kuua basi alidhamiria ndiyo maana baada ya kufanya ukatili mathalani wengine hujiua, kujidhuru au hata kujisalimisha kwenye mamlaka wakijutia walichokifanya, ila ndo hivyo aggressive nature yao na limit ya uwezo wao ku hold their feelings unakuwa inakuwa imefikia hapo.

Kila mtu ana limit regardless ni male au female, kwani hujawahi sikia wanawake wakiua waume zao kwa sumu? visu? Kukata sehemu za siri?, but inaonekana common zaidi kwa wanaume kutokana na mambo mbalimbali ya kijamii yaliyomfanya mwanaume aonekane yeye ndo yeye , yeye ni wa kipekee na hivyo mwanamke hapaswi kumkatalia chochote na kwamba anapaswa kumsikiliza kwa chochote, Hali ikiwa tofauti na akaona anadharauliwa nk, sasa hapo ndipo mambo haya hutokea
 
Mimi sijaongelea tukio specific.

Wanaume wanaua na kudhuru wanaume wenzao zaidi kuliko wanavyoua wanawake.
Na kwa sababu tofauti tofauti na si zote ni za kimapenzi. Hilo unaliongeleaje?
Kama unasema wanaume wanaua wenzao hapo unaonesha wanaume wana nguvu ndio maana hujiingiza kwenye changamoto zinazohusisha matukio ya nguvu.

Hata kufanya kazi ngumu, kwa kiasi kikubwa hufanywa na wanaume.

Hata hayo matukio ya mauaji nje ya mahusiano, mfano wasiojulikana ambao kwao ile ni ajira wanayolipwa kwa kuifanya.

Lakini nje ya pale, sioni kama kuna matukio mengi ya ujambazi mitaani ambayo yanahusisha wanaume kutoana roho ukilinganisha na hayo ya kwenye mahusiano.

All in all, kwangu naona wanaume sio dhaifu kimwili au kihisia, ata huko misibani tunaona wanawake wengi ndio hulia mpaka kuzimia.
 
binti, mbona umekazania sana wanaume tukiri wazi wazi kuwa sisi ni dhaifu zaidi? Nia yako haswa ni nini? Unataka kutudhalilisha mazima sio?

Anyways, what if wanaume imetutengeneza kuwa hivyo hivyo ili kuleta balance kwenye meaning hapa ulimwenguni? Bila hizo tabia unazoziita hasira na visasi kuna namna maisha yangekuwa mabaya zaidi ya haya yaliyopo.
Siyo kweli. Dunia ingekuwa na amani sana
binti, mbona umekazania sana wanaume tukiri wazi wazi kuwa sisi ni dhaifu zaidi? Nia yako haswa ni nini? Unataka kutudhalilisha mazima sio?

Anyways, what if wanaume imetutengeneza kuwa hivyo hivyo ili kuleta balance kwenye meaning hapa ulimwenguni? Bila hizo tabia unazoziita hasira na visasi kuna namna maisha yangekuwa mabaya zaidi ya haya yaliyopo.
Siyo kweli
 
Back
Top Bottom