Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,602
Elewa neno Kushambulia 😂Una uhakika? 😹
Hapo tu umeishambulia hujaacha ikupite bila ya kureply..!!
Elewa neno Kushambulia 😂Una uhakika? 😹
Hapo tu umeishambulia hujaacha ikupite bila ya kureply..!!
Lazima mmoja wao aje kuwa shujaa kama unawasaidia kuwalea kama ulivyo lelewa.Nina watoto wa kiume pekee na hili ni swali ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu na naamini majibu yake yatanisaidia kuelewa kizazi changu pia.
View attachment 3684914
Sahihi iwe kwa STRONG au weakKuna switch ukibonyezwa utapaniki🙂😕🙂🙂🙂
😉
![]()
Ninachokupendea wewe sio mbishi, kwenye ukweli huwa unakubali..!! 😹Testosterone na misuli,
Lakini hata Simba dume wako hivyo pia, wakitaka kuzaa na jike huwa wanaua hata watoto ili jike arudi kwenye heat haraka apandike😁.
Are these causes of that weakness?Hormones, strong bodies/muscles, evolution, social and culture.
Nakubaliana na wewe ila hivyo vitu ulivyolist vinahusiana nini na kushindwa kudhibiti hisia na kuwa violent?Wanaume ndio huwa wanajeshi,
Wanaume ndio huchimba madini na kazi nyingine za hatari,
Wanaume ndio walikuwa wanawinda,
Wanaume ndio wameitawala bahari kwa muda mrefu,
Pole, nani kakwambia? 😹Naumwa nasikia sasahivi unasukuma BMW
Sawa, ila hayo uliyosema yanajibu vipi maswali yangu?Mwanaume ndiye mwanadamu aliyezungumziwa hata kwenye vitabu vitakatifu.
Na asilimia 90 ya mambo anayofanya mwanamke huyakopi kutoka Kwa mwanaume.
Hivyo kila kilichoanzishwa hapa Duniani kilianza na mwanaume
Ni asili tu.Unaweza kui-modify asili?Muishi na wanaume kimachale sana.Are these causes of that weakness?
Nakubaliana na wewe ila hivyo vitu ulivyolist vinahusiana nini na kushindwa kudhibiti hisia na kuwa violent?
NdioUnaposema kila kitu unaelewa unachosema mkuu?
Sasa swali gani hili? hatuna mbupu 😂Hivi nikuulize swali leo nikupe kitu cha kufikiri mara 3 hivi mwanamke anatembea na kengele chini au hana kengele?
Kwahiyo hasira zenu na maamuzi mabovu ni kwasabahu ya vinyanya mshenzi vyenu 😂😂😂 au unataka kusemaje mkuu?lewa maana ya neno kengele, sasa usichokijua au km umebahatika kuzaa mtoto wa kiume zile kengele hua zinazunguka sasa zinapozunguka na huku mtu kashatifuliwa ubongo zinakoroga zaidi hapo ndio utamuona mwanaume kakunja pua km muwindaji kakamatwa na mnyama aliekua anamwinda
😹😹 Mi najua umeishambulia kimoyoni..!!Hatuishambulii sasa
Acheni nyie ukiweka mrembo ndani utachapiwa tu. Imagine upige mara 33 mtu hapokei and then simu ikazimwaTunapita njia ngumu aliyopita Kaini dhidi ya nduguye Abel.Don't take it too seriously!
Umefanya utafiti?Ndio
Mtu anayeshambulia anajulikana, wewe hapo tayari ushaishambulia na ushaonyesha udhaifu….!! 😹Elewa neno Kushambulia 😂
Unamaanisha nini kwa kusema "aje kuwa shujaa" ?Lazima mmoja wao aje kuwa shujaa kama unawasaidia kuwalea kama ulivyo lelewa.
Hatakubali ujinga wa jinsia ya kike
Mwanaume ni kiumbe ambaye anacontrol hasira sana, kinachotuponza ni kwamba hatusahau, tunajicontrol ila hatusahau sasa siku ikilipuka inalipuka na ya nyuma yote.Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?