Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Ninachokuhakikishia ni kwamba hakuna atakayeishambulia
 
Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?

View attachment 3684908

  • Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?

  • Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?

  • Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
Screenshot_20260917-010453_Facebook.jpg
 
Watoto wa kiume mara nyingi hatupati nafasi ya kulia kutoa machozi
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Testosterone na misuli,

Lakini hata Simba dume wako hivyo pia, wakitaka kuzaa na jike huwa wanaua hata watoto ili jike arudi kwenye heat haraka apandike😁.
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Hatuishambulii sasa
 
Unaposema kila kitu unaelewa unachosema mkuu?
 
Kutodhibiti hisia ni udhaifu mkubwa sana,mwanaume au mtu yoyote mwenye nguvu ni yule ambaye anaweza kudhibiti hasira anapo kasirika na kinyume cha hapo ni weakness

Ukijiona jambo dogo tu linakukwaza na kutaka kufanya maamuzi ya ajabu you are weak

Kibaya zaidi sisi ndio kichwa cha familia halafu tupo very weak

Wanaume tubadilike kabla hujafanya anything stupid just think big tutaepuka na mengi period
Hakuna aliyekamilika hata wewe unayejiita Strong kuna Switch ukibonyezwa unakuwa dhaifu...kataa 😁
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!
Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!
Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!
Nimeona jana usiku habari UK 🇬🇧 mtoto wa miaka 14 amemchoma kisu mara 10 binti ambaye amemtongoza akamkataa. Nikafikiria yani miaka 14 tayari mapenzi yanamuendesha huyu akikua si ataua 😢.
Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Watatoa mapovu, doffi inasubiri 😂
 
So men are hormonal and their impulsivity and poor choices are caused by that?
Hormones, strong bodies/muscles, evolution, social and culture.

Wanaume ndio huwa wanajeshi,
Wanaume ndio huchimba madini na kazi nyingine za hatari,
Wanaume ndio walikuwa wanawinda,
Wanaume ndio wameitawala bahari kwa muda mrefu,
 
Mwanaume ndiye mwanadamu aliyezungumziwa hata kwenye vitabu vitakatifu.

Na asilimia 90 ya mambo anayofanya mwanamke huyakopi kutoka Kwa mwanaume.

Hivyo kila kilichoanzishwa hapa Duniani kilianza na mwanaume
 
Back
Top Bottom