Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Sawa, basi tutaendelea kuishi na nyie kwa akili kwa sababu hamuwezi kujicontrol mkishapata hisia kali au hasira.
Kuna siku Jesus kaingia hekaluni Jerusalem kakuta mawinga wanafanyabiashara mjengoni kwa mshua wake, alichapa mijeledi sio poa that day.

Je, Jesus alikuwa dhaifu?
NDIYO πŸ’―
 
Nakuelewa tolerance ni individual issue na uwezo binafsi, ila kwenye data inaonyesha wanaume ni aggressive na violent by an excessive large margin na iko hivi kila sehemu.
Kwa kila sehemu uongo,but kwenye domestic violence YES na nitakwambia kwanini
 
Ni lini mwanaume amekuwa dhaifu?
Hebu futa huo usemi kumuita mwanaume dhaifu .

Umesema hisia?
Ow yes!
Men are capable of love.
And we are vulnerable when it comes to love .
Na tunapopenda huwa tunaingia mazima.
Kwaiyo nikiwa mtu siweI kuzuia hisia zangu ndio naitwa dhaifu?
Kwaiyo nimevutiwa na wewe nijikaze ,nijizuie , nisioneshe hisia zangu kwako Ili nisionekane mdhaifu ????

Unajua kwanini by nature tupo hivyo?
Simple
No matter nini kitatokea tuta bounce ba
ck
Iwe kuumizwa, kupoteza uwekezaji wetu kupitia hayo mahusiano.

NB. Nazungumzia Masculine men.

Hasira.
Wanaume Wana hasira kuliko wanawake???
No
Last time I checked wanawake ndio hasira na visirani zaidi.

Angalia hapa.

Logic

Logic

Men are logical

Real men don't tolerate disrespect
Mwanaume aliyekamilika hawezi vumilia disrespect kwasababu by nature wanaume tuna value respect kuliko chochote kile
Na ndio maana yanatokea hayo unayoyasikia.

Angalia Tena
Logic ipo hivi
Nimekuoa, ninakuhudumia kwa kila kitu .
Na nime sacrifice maisha yangu kwa ajili yangu na familia kwa ujumla .
Kama unatumia logic maana yake unajua nini hupaswi kufanya kwa huyu mwanaume
Na unajua nini kitakupata iwapo utakiuka maagano ya Mpaka kifo kitutenganishe.

Kwaiyo.
Madam mwanaume ambae yupo tayari lolote limfike iwe kifungo au kunyongwa kisa tu amesalitiwa ni mdhaifu
Huo ni udhaifu kwako??

Upande wa pili?
Jamaa anajua kabisa huyu ni mke wa brigedia lakini liwalo na liwe limfike lakumfika anaenda kula mzigo,
Huo ni udhaifu?

Mahali pekee mwanaume anakuwa dhaifu ni kwenye movies tu!
Sio kwenye ulimwengu huu .
 
Sawasawa.

Kwahiyo nguvu za mwili+ udhaifu kihisia ni bomu kubwa sana!
 
Re learn maana ya udhaifu.
 
Labda ungeanza kueleza uthibiti wa hisia unaanzia wapi na unaishia wapi. Maana mnakurupuka kuelezea matokeo ya mwisho badala ya kueleza mwanzo wa jambo. Hao mnaowasema hawadhibiti hisia mnatumia kipimo gani?
 
Kwa kila sehemu uongo,but kwenye domestic violence YES na nitakwambia kwanini

Traditional Gender role ya Mwanaume ni KICHWA cha familia so as kichwa cha familia anajipa authority ya kua na Maamuzi juu ya mwanamke(tatizo linaanzia hapa)..

Na mfumo dume unafundisha kua sisi Wanaume we are entitled to dominance so kutumia nguvu kumtuliza mwanamke ni tool of control, upo chini yangu,nimekuoa,nimekulipia mahari,nakutunza,nakulisha utaniambia nini??

So jamii imejifunza hayo mambo as norms,tumekua nayo tangu watoto Wazazi wetu wakiyaishi now we treat it as a way of life..

So ni ideology ya jamii zetu kua uhuru wa mwanamke ni threat..

Matukio hayo yamekua mengi sasa hivi sababu ya ELIMU as i said days ago FEMINISM ilivyokuja Bongo imefungua akili za wanawake wanajua nini wanataka nini hawataki,kuna asasi kibao NGos kila kona ya kufungua fikra za mtoto wa kike,kufikiria tofauti na walivyo kua wanafikiria Mama zetu,kwa miaka 40 sasa harakati kibao supported na mashirika makubwa duniani yana Fund NGos za kumkomboa kifikra Mwanamke.

But hakuna shirika hata moja au Taasisi ambayo inafundisha elimu ya kumkomboa mtoto wa kiume,

Wanawake now wana fikra mpya,mitazamo mipya,ila Wanaume wamebaki na fikra zilezile,mitazamo ileile unafikiri wakiishi pamoja wataelewana??..HELL NO..

Ukisoma posts humu kuhusu uhalifu wa kijinsia utaona comments kua 30% ya wanaume wanaweza ku act(violence) kutokana na michango yao,.70 waliobaki hawawezi kutenda kosa but WE CHERISH IT..

Elimu Elimu Elimu as lowassa said
 
Ni ushamba tu.

Tuliostaarabika mbona hata kofi hatupigi?
 
Umesema vizuri my sister, jamii pia ilituaminisha kwamba maudhi yale tunayosababisha sisi tu ndiyo yanatambulika kwa upekee kama hisia na hivyo kutufanya dhaifu.
Lakini kiuhalisia hasa wanaume ndio wapo dhaifu, wana jazba na wanakurupuka kirahisi mno. Ile kuwa sie hatuwadhuru wanaume jamii inaona kama labda hatukerwi, au hatuudhiwi, au hatukasirishwi au hatupigwi matukio na wanaume.
Hii ni kweli kabisa πŸ’―
Kabisa, baadhi ya magonjwa ya autoimmune kwa wanawake yanachangiwa sana na msongo wa mawazo na shida nyingine za afya za akili, nyingi zikiwa linked moja kwa moja na changamoto au majukumu ya kifamilia na mahusiano.
Kweli, hasa ukisoma humu mitandaoni, mpaka unajiuliza hivi tunaishi wote kwenye jamii moja, au?
Wanashindwa kujidhibiti, very weak!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…