Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Kwa hivyo,
je, unafikiri kwamba uwezo wa kuishi kwa muda mrefu unategemea jinsia?
Na kama ndivyo, kwa nini wanaume wanaonekana kufa mapema kuliko wanawake?
 
Research yako umeifanya wapi
 
Wanawake wanakojolewa protein shahawa wanaume wanamtoa protein shahawa hivyo kwakuwa protein shahawa hujenga mwili basi mwanamke anapokojolewa anajengwa na mwanaume anapokojoa anajibomoa.
 
Ni kweli hata bila utafiti sana utagundua nyumba nyingi wamebaki wanawake na mabibi.

Wanaume wanatangulia kufa katika familia nyingi.

Sisi wanaume tunabeba matatizo mengi sana, wanawake wengi wao wanabeba matatizo yao tu.

Hii ni kwa ujumla kama nionavyo mimi, unaweza kuchambua ni mangapi unawaza kuyatatua iwe matatizo au mafanikio.

Tuna mizigo mingi sana tumeibeba
 
stress za maisha na kupambania uchumi watoto na hisia za mtu pia umri mkubwa wa wanaume kuliko wanawake unaoa mtu umemuacha miaka 20 what do you expect. baadhi ya wamama wanatupiga changa la macho (nilisikiaga wachagga sina uhakika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ