Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Ndio anaweza kukuona kwa hisia na macho asifumbue
Kweli mkuu mi ilishanitokea nilikua nimelala chumban mdogo wangu akaingia nakuchukua laptop yangu badae akairudisha nilikua kama naota nilipoamka nikamwambia kila kitu
 
Hii kitu ipo na inawezekana kabisa
 
ni kwa sababu anahisi uwepo wa kitu mbele yake, third eye inahusika sometimes. Its automaticaly tumeumbwa hivo.
 
Hapana ukiwa kwenye mlalo mzuri I mean mshazari ni ngumu sana mwanga kufanya yake... Ni mpaka aidha uwe chali ama kifudifudi... Sana sana atasonya na kuondoka zake
Mshazari ndo kulala namna gani. Unaweza kuweka picha ili isaidiye kuelimisha
 
Mimi Kila nikifumba macho na kuomba naisi kuna kitu mbele yangu au nikizima taa za chumbani ili nilale naisi kuna kitu sometime nikiahtuka usiku naona live akini nikishtuka na kukaza macho ya kawaida sioni kitu ila nauakika kilikuwapo je sababu ni ilo jicho la 3??
 
Vipi naweza kuzuia lisifunguke maana atulali wengine
 
Hapana huwezi kulizuia ni something inbuilt na sometimes hivi tunavyoviona ni hallucinations tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom