Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

Mmh ukilala chali tu ndio linakutokea? Hebu soma nilichoandika kuhusu kulala chali, ukiweza usilale chali
Ndiyo nikilala chali tu,Kuna wakat huwa najisahau , pia kuimis tu ile style ya kulala chali, ndo najikuta nimelala chali na hayo maluelue yanaanza kunitokea, ..
Nahis kuna mkoono wa mtu hapa
 
Nimeupenda mchango wako uko detailed sana, japo kuna baadhi ya sehemu umechanganya kidogo lakini ni kwenye mkondo huo huo... Nazungumzia telepathy na hayo machale hivi viwili vina uchambuzi wake.. Nina post zake pia
Hapa kwenye mada hii ilikuwa ni kuhusu katika hali ya kuwa usingizini

Ok kuna masuala baadhi sikueleza

Psyche wagiriki walimaanisha "Roho" hufanya kazi kama Radar inauwezo kugundua kutambua kitu chochote kutoka upande wowote kinapokuwa kinaelekea upande wake.

Kwanini basi Machale, Mfumo wakuwasiliana kwa roho (Telepathy) na Jicho la tatu ni kitu kimoja

Katika tafiti za Saikolojia kuna kundi flani lilibainisha kuwa Roho au Nafsi ya Mtu inaishi katika eneo linaloitwa "frontal Lobes" ambapo ni katika paji la uso basi ni kwanini?

Ni eneo linalohusika na utoaji na ufanyaji wa maamuzi, kufikiria na attention na mengi sana hivyo walitoa suggestion hapo ndipo inapoishi nafsi ya mtu (Hipo katika Debates hakuna conclusion iliyohafikiwa)

Na wengi wanaotumia mfumo wa kuwasiliana kwa mawazo yaani telepathy hutumia kushika sehemu ya paji la uso. au maeneo kuzunguka paji la uso (Hii siyo sayansi ni spiritualism ni hatari )

Na muhimu ufahamu unaolala ni mwili wa binadamu Roho ya Mtu hailali

Pengine ushawahi kusikia mtu akisema kimwili japo sipo nanyi ila kiroho nipo hapo lakini yupo hai?

Kifupi Roho au nafsi huwa zinamawasiliano zenyewe kwa zenyewe (ndio maana nkatoa mfano wa radar) sababu haijarishi hupo umbali gani

Sasa kwanini Dr shika hakutaka mwangalia usoni sababu angeamka sababu kama nlivyosema kuna mfumo pia wa kuwasiliana nje ya mwili na wanasaikolojia wana suggest hipo katika paji la uso kwahiyo ingekuwa kama anamuaamsha sababu mwili huwa unalala hila roho hailali

Ndiyo nikilala chali tu,Kuna wakat huwa najisahau , pia kuimis tu ile style ya kulala chali, ndo najikuta nimelala chali na hayo maluelue yanaanza kunitokea, ..
Nahis kuna mkoono wa mtu hapa
Hapana kabisa ni kwamba tu uko vulnerable na hiyo style, kuna wengine hakiwatokei chochote ndio maana wanabisha sana
 
Ok kuna masuala baadhi sikueleza

Psyche wagiriki walimaanisha "Roho" hufanya kazi kama Radar inauwezo kugundua kutambua kitu chochote kutoka upande wowote kinapokuwa kinaelekea upande wake.

Kwanini basi Machale, Mfumo wakuwasiliana kwa roho (Telepathy) na Jicho la tatu ni kitu kimoja

Katika tafiti za Saikolojia kuna kundi flani lilibainisha kuwa Roho au Nafsi ya Mtu inaishi katika eneo linaloitwa "frontal Lobes" ambapo ni katika paji la uso basi ni kwanini?

Ni eneo linalohusika na utoaji na ufanyaji wa maamuzi, kufikiria na attention na mengi sana hivyo walitoa suggestion hapo ndipo inapoishi nafsi ya mtu (Hipo katika Debates hakuna conclusion iliyohafikiwa)

Na wengi wanaotumia mfumo wa kuwasiliana kwa mawazo yaani telepathy hutumia kushika sehemu ya paji la uso. au maeneo kuzunguka paji la uso (Hii siyo sayansi ni spiritualism ni hatari )

Na muhimu ufahamu unaolala ni mwili wa binadamu Roho ya Mtu hailali

Pengine ushawahi kusikia mtu akisema kimwili japo sipo nanyi ila kiroho nipo hapo lakini yupo hai?

Kifupi Roho au nafsi huwa zinamawasiliano zenyewe kwa zenyewe (ndio maana nkatoa mfano wa radar) sababu haijarishi hupo umbali gani

Sasa kwanini Dr shika hakutaka mwangalia usoni sababu angeamka sababu kama nlivyosema kuna mfumo pia wa kuwasiliana nje ya mwili na wanasaikolojia wana suggest hipo katika paji la uso kwahiyo ingekuwa kama anamuaamsha sababu mwili huwa unalala hila roho hailali

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] asante tena
 
Mtani fwatilia na ile aliyosema ukimwona nyoka ukishika tumbo nyoka hasogei na ile ya kushika kengele mbwa mkali hakung'ati wala kubweka....
 
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?

Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka watesi wake kwamba hakumwangalia yule mtesi mlinzi aliyebaki naye machoni la sivyo jamaa angeamka!

Tujadili kipengele kwa kipengele.

A. Kwenye mada zilizopita za jicho la tatu, majinamizi na jicho la rohoni tuliona jinsi jicho la tatu lilivyo na nguvu pale macho yaonekanayo yakiwa yamefumba, yamelala.. Kumbuka jicho la tatu liko kwenye paji la uso.. Tunapozungumzia mawasiliano ya kiroho kiunganishi ni jicho hilo la tatu kwamba kuna muunganiko usioonekana kati ya jicho la tatu na jicho la tatu lingine...
Kama nilivyosema kwenye mada ya majinamizi na ndoto mbaya hatushauriwi kulala chali kwakuwa juu yetu zinapita roho nyingi na za kila aina, ambazo connection yake ni jicho hilo la tatu

B. Wachawi na wanga hutumia sana jicho la tatu kufanya mawasiliano ya kiroho na ndio maana wanapotaka kuingia ndani ya nyumba kwanza kuingia kinyume nyume kwa rivasi na wakiwa uchi... Hapa ni kuepusha uwezekano wowote wa wewe kuna na direct connection ya jicho la tatu na yeye... Akishafanikiwa kuingia ndani akakukuta umelala chali hapo hataweza kuwanga tena bali yataanza mapambano mengine ya kutaka akugeuze au kukupindua ili afanye yake... Lakini kwakuwa tayari ile connection ishakuwa established basi subconscious mind inakuwa alert na ndio mwanzo wa kukabana..
Jiulize kwanini wanaoingiliwa na popobawa hawana kipingamizi chochote, hujikuta tayari washachafuliwa..

C. Muingiliano mwingine wa jicho la tatu ni ndege kunguru mwewe, huyu ni ndege mwerevu na mwepesi sana huwezi kumpiga akiwa mbali, hivyo wajuzi huenda kinyume nyume mpaka kumkaribia kabisa ndio hugeuka na kumpelekea moto... Ukiweza kurudi rivasi kwa kunyooka, unaweza kumkaribia kunguru mpaka umbali wa mita tano.. Unaweza kufanya majaribio

D. Mwili wetu huu una mashine tatu moja ni conscious mind na nyingine ni subconscious mind na ya tatu ni unconscious mind
-conscious mind- ni hii hali tuliyo nayo ya kuweza kufanya kila kitu kwa utashi na bila utashi, kuandika kuongea kuvaa nguo nk nk, ni katika hali hii subconscious mind (jicho la tatu) nayo hufanya kazi.. Hii hufanya kazi ya ulinzi kuzunguka mwili wote na ndio maana huwa tunahisi kuna mtu anatunyemelea, kuna mtu yuko nyuma yetu ama kuna hatari inatukaribia.. Lakini vilevile hufanya kazi ya machale... Jicho la tatu huona zaidi ya kuona (seeing beyond) huwa tunapewa tahadhari na nafsi zetu, huwa tunasita kufanya jambo . hii ni kazi ya subconscious mind... Halafu kuna hali ile ya kuzirai ama kupoteza fahamu... Hii ndio unconscious mind... Macho yote mawili yamezima, jicho la tatu nalo linakuwa kwenye dormance state.. Lipo lakini utendaji hupungua uwezo mpaka kufikia chini ya asilimia 50 ili kulinda uhai kidogo uliobakia. Ni sawa na kukipunguzia mizigo chombo baharini kinachokaribia kuzama ili kisizame

Sasa tuhitimishe kwa suala la Dr Shika, aliachwa na mlinzi lakini akalala kutokana na uchovu pombe na madawa.. Lakini kwakuwa tayari ana ufahamu (inbuilt intuition) wa kumlinda Dr, hivyo hata alale vipi lile jukumu kiroho hubaki kwenye subconscious mind/jicho la tatu na ikitokea ukamwangalia usoni una establishe connection kati yako na yeye na kumfanya ashtuke na kuamka
ef5089328ced34d6ad19285ea79b58d6.gif

Mojawapo ya mafunzo ya walinzi ni hili.. Na subconscious mbili zinapokutana moja ndio hu trigger nguvu ya kuamsha nyingine.. Hivyo haishauriwi kabisa kukutanisha macho Kwenye situation kama hizi

Naomba radhi kwa kuchanganya lugha
mshana jr nimejaribu hili zoezi kwa kumuangalia kijana wangu alikuwa amelala kwenye kochi so nikawa namwamsha kwa kumtazama machoni kuanzia saa 2 mpaka 3 hakuna cha kuamka wala ninii ..
nikatumia shortcut kumwagia maji usoni ndo akaamka. dah nikakufikiria sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom